Record every moment that feels good to you take that pictures pleaseee let them judge anyhow mwaya enjoy that little life🥰🥰🥰
2026-05-30 15:24:32
43
ESTER IBRAHIM :
We mwenyewe unaonekana unaroho ya kimaskin ndio mana hupo tiktok
2026-05-30 13:33:06
18
Pendo julius :
Ukweli mchungu
2026-05-30 11:02:12
18
lily :
we live once bro achana na watu 😂🙌
2026-05-30 19:51:18
11
samson jr :
si kweli bhana
2026-05-30 08:26:08
12
user2747399858613 :
kuzungumza maisha ya mtu anae jipa furaha mwenyew napo ni roho ya kimasikin
2026-05-31 04:06:58
16
Annelly🥰🌸 :
Mm nitajir ila kurecord sijawahi acha na ww umeanza kuwa mhenga 🥺
2026-05-31 15:13:35
7
Official Baby Ney :
Nita post sana
2026-05-30 13:59:09
13
Fortun atalia :
kama Mungu ana kuvusha lazima utangaze Ukubwa wa Mungu ulikuwa kiwango hata hauya kula mwenye meza ya chakula nzuri sasa una vuka lazima utangaze Ukubwa wa Mungu bro
2026-05-30 13:33:54
6
atu❤️ :
Niache na umaskini wangu 😂
2026-05-30 15:02:39
9
Tf phones and accessories :
Hizo ni moment Za maisha na huwa hazijirudiii ,when you get the time to enjoy Just do it ,sasa simu ziliwekewa kamera ili iweje ,ndo kazi yake hiyooo
2026-05-30 19:25:04
6
Warda Said :
kumbe mm nitajir😂😂😂😂
2026-05-30 11:33:41
7
🍀 :
basi mimi ni tajiri
2026-05-30 11:45:17
5
Marcus💪 :
Hiyo sina mimi kwanza naonaga aibu hata niende kwenye maziala ata aje raisi siwezagi yaani sijui naonaje naona kama sijui vipi 😂 mungu anijaalie nikawe tajiri maana 😂
2026-05-30 12:51:25
7
D CLEFF VOICE OVER :
Fact
2026-05-30 15:58:33
1
mwasiti 🥰 :
maskin diamond😁😁
2026-05-30 19:02:01
0
japharynguzo :
fact
2026-05-31 09:06:43
1
Meli Nashi :
kwli kabisa
2026-05-31 04:19:31
1
Sadam Innocent Karoli :
nikiwa na tabia ya kimasikini harafu sio masikini kuna shida ?
2026-06-02 14:24:17
1
To see more videos from user @mr_mangapi, please go to the Tikwm
homepage.