anamaanisha tujiajiri nivizuri but sio kila mtu atakua entrepreneur, maisha ni kama eco system we depends on each other na sio kila mtu ameumbiwa kufanya biashara wengine wanaangukia kwenye madeni na depression mwisho wa siku majuto so ni vizuri ila tuache system ya maisha ituongozee
2026-05-30 11:45:41
13
stevemjema1 :
700,000x12=8,400,000 Kwa mwaka hii. Kwa miaka 30 ya kufanya kazi 8,400,000x30=252,000,000. kwahiyo ukifanya kazi miaka 30 unapata 252 Milioni