🤣🤣uzuri wa TikTok comments ndy zinafurahisha kuliko hata video
2026-05-31 08:03:33
52
nassa mawe :
Iyo Kodi neno nakupenda inamaana naitaja uwepo wako karibu yngu
2026-06-03 12:37:16
26
🅱🅻🅾🅲🅺 72🇧🇷 :
20 chap
2026-06-01 05:35:15
11
user4286855137222 :
another challenge opened😂😂
2026-06-13 20:45:11
6
NITA🌸🦋 :
@NITA🌸🦋:Hello naitwa kondela sikiliza nyimbo yang mpya kwenye audiomack 🎶🎶🎵 (your my sugar your my zahari 🎶🎵)...😂😂
2026-05-31 12:42:24
37
NGOSHA TIA :
live
2026-06-01 01:44:37
10
The last killer🔵 :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.
2026-06-15 12:22:18
5
GeneralFib :
adasco usinipige snepo
2026-05-31 10:50:08
1
Mr fadhili :
2026-05-31 21:31:36
7
GM THUG :
kwenye stage hao wanafanya nini apo
2026-06-11 18:44:54
7
Bu_hassan⚽️ :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
apo nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.
2026-06-17 11:06:59
4
To see more videos from user @singeli.kitaa, please go to the Tikwm
homepage.