@muftijunior3: Bila UBISHI tuwe wenye kujifunza mafunzo ndani ya BIBILIA.....#muftijunior3 #kenyantiktok🇰🇪 #foryoupage #muslimtiktok #creatorsearchinsights

Omar Abdullahi | Da’wah
Omar Abdullahi | Da’wah
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 30 May 2026 07:48:00 GMT
131473
5830
222
1238

Music

Download

Comments

mjenzihuru667
mjenzi huru 667 :
yesu nimaana ya (neno akafanyika mwili) yaani mungu aliuvaa mwili ili awafundishe kisha kwakila aaminie mafundisho yake atakaa ndani yake yy niroho
2026-05-30 15:23:01
6
user40475661190710
user40475661190710 :
baraka llahu fiikum Allah Akuhifadhi hakika umeongea maneno mzuri
2026-05-30 08:31:38
28
cratos367
cratos :
Mungu tunajua ni mmoja ila ana nafasi tatu Baba.Mwana na Roho Matakatifu ,kama ambavyo mwanadamu ametengenezwa kwa nafasi moja na Roho.Kwa kuwa mwanadamu ana nafasi na Roho hii haifanyi wawe watu wawili,very simple.
2026-05-30 17:50:38
3
minaniyasini
minaniyasini :
mungu ni mmoja tu nayesu ni mtume wa mungu
2026-06-04 19:35:38
4
nassibushabani51
nasibu shabani :
yesu nitumie wa allah
2026-05-30 18:27:24
4
reginaldhonest
Reginald🔥🔥 :
baba ni mungu mwana ni mungu na roho mtakatifu ni mungu so mungu ni mmoja katika nafsi tatu
2026-05-31 10:05:36
2
gerson.focus
Gerson Focus :
mbona hujasema mwana wa mungu
2026-05-31 03:41:59
1
abuyislam83
Denyenye :
Mwenyezi Mungu Hakuzaa wala Kuzaliwa. Yesu ni nabii wa Mungu
2026-05-31 11:41:14
4
fadhilijimmy
JimY wa mOrO 🏁 :
nimejifunza hekima kutoka kwako
2026-05-30 19:37:59
9
taimur.kiongoz
Taimur Kiongoz :
maneno mazuri sana Allah akuhifadh
2026-05-30 16:10:40
6
rehemaibrahim69
rehemaibrahim811 :
mwenyezi mungu ni mmoja tu hajazaa na wala hajazaliwa na hafananishwi na kitu chochote
2026-05-31 09:21:07
8
user95159786841205
Abdulsatar Seif :
mungu atakulinda
2026-05-31 10:06:50
4
sabahiimuhammed
Sabahii Muhammed :
MUNGU HANA MTOTO NA HAITOTOKEA KABISA
2026-05-31 08:16:42
5
allymbasha851
AA :
Allah ni mmoja tu
2026-06-04 03:50:36
2
user61982168013427
my story :
masha Allah shehe hawata kupa Jibu sahihi
2026-06-01 15:05:08
1
cuterwanda5
cuterwanda5 :
Mashallah🙏🙏
2026-05-30 12:51:18
4
nurumapande1
Nuru mapande :
mashaallah
2026-05-31 11:12:01
1
mjenzihuru667
mjenzi huru 667 :
tafsili ya nafsi tatu ni hii baba nimungu katika kuumba mwana nimungu kuokoa kwanjia ya kufundisha namatendo roho nimungu ndani yakila amkilie yeye
2026-05-30 19:06:54
1
khamza.msangi
khamza Msangi :
mungu akubarik
2026-05-30 14:28:24
2
masudishabani55
masudi shabani :
Allah akibal mungu mmoja
2026-06-01 17:44:57
1
karimsaid121
karimsaid1765 :
ubarikiwe sana kwa kuwafungua akili wagalatia
2026-05-31 13:20:49
1
issarajabu488
Issa Rajabu :
mungu akupe khery
2026-05-31 19:19:53
1
user40994634348561
user40994634348561 :
shukran kwa elim
2026-05-31 08:11:00
1
sulledikinga20
Sulledikinga 20 :
ya Allah tusamehe sisi sote maana hatujui tuyatendayo 🙏🙏🙏
2026-05-31 06:59:14
1
ju654863
mwa234 :
asant
2026-05-30 16:48:38
1
To see more videos from user @muftijunior3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About