@tripple_brothers: Kila ki2 ni discpline daaaah mzee ana miaka 89 anagonga chumaa ww kija miak 29- 44 unakaz ya ulev aaaah 💔#@ck_ommy💀🚩 @Berto TheBody @_.breezy_.99 @CALVIN #strongboy @Calvin_trainer @Clement_trainer @AmAsHa 👻 #viralvideo #gymmotivation #bodybuilding #viralvideo
TRIPPLE_BROTHERS💪🏿❤️
Region: TZ
Saturday 30 May 2026 08:04:11 GMT
Music
Download
Comments
CALVIN #strongboy :
Heshimu heshima🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-05-30 13:56:28
62
REUBEN :
yaani mko mabrother tripple afu mmeshindwa kujua since 1954 -2026 ni miaka mingapi 😅
2026-05-30 11:05:56
17
B R O W Ns :
Kumbe 2026-1954 ni 89😂💔 ila hisabati
2026-05-30 18:07:50
11
Reymah dinho :
Miaka 72 looooh
2026-06-01 15:22:16
1
Mr Washington :
Daamn.. ana miaka 72 mpaka sasa, mwili wako unahitaji muscles💪 ndio uzima wako
2026-05-30 09:48:47
9
Baitan :
72 ages
2026-05-30 15:00:28
3
KAKA'A great Tz 👍 :
72 daah kwel mazoez hutunza afya🥰🥰
2026-05-31 07:39:19
5
SAMU MWALABU 47@ 🙏🎯 :
mbona kachoka. sana wakati mm mzee wangu ni 1948 na bado yuko fiti sana yan 💪🤝
2026-05-31 11:32:34
2
𝑲𝑰𝑵𝑮 𝑴𝑰𝑪𝑲 𝑮𝒀𝑴👣 :
𝐦𝐳𝐞𝐞 𝐲𝐮𝐤𝐨.𝐰𝐚𝐩𝐢 𝐧𝐢𝐦𝐛𝐥𝐞𝐳 𝐠𝐥𝐨𝐯𝐞 𝐧𝐢 𝐦𝐤𝐨𝐚 𝐠𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐮𝐤𝐨 ??
2026-05-30 14:48:42
2
Hansy-4Real,Tz :
respect saana babu.
Point of correction uo mwaka 1954 sio mwala alio zaliwa ni mwaka alio Anza gym now mzee anamiaka 89 jiran yangu uyu babu
2026-05-30 18:27:51
8
Mike Sikaona :
72 miaka siyo 89
2026-05-31 07:03:59
2
king kora :
72
2026-05-30 19:43:03
1
Ronny.. :
....heshima wakubwa
2026-05-31 09:51:54
2
MBT Muganyizi :
dah hadi raha mzee
2026-06-01 15:39:24
1
Shaban Muya :
daah mzee katisha sana aisee bigap sana kwa fadha
2026-05-30 18:22:05
3
joh trainer :
kwaheshima mwanetu
2026-05-31 13:54:29
1
kasim mpunga :
makin sana
2026-06-01 19:11:34
1
khanbrize Fitnes 🇹🇿🇰🇪🇱🇷 :
babu ametisha sana🔥
2026-05-31 07:47:06
1
MASTA TRAINER :
daaaaah noma sana mwanangu💪🫡
2026-05-30 19:41:30
1
mr. maokoto :
72 bado anasukuma weight 😳
2026-05-31 11:10:13
1
Kollian Mark :
huyu ni champeeee🥰
2026-05-30 20:39:52
1
Bin Thuweiny Nelly :
Safi sna hii ndio raha ya mazoezi 🔥🙌🏻🫡🙈😎
2026-06-01 18:50:22
1
patrickrugakingir6 :
real appreciate... well self-respect..🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-05-30 14:16:30
2
GM ONE :
uyu ni lol model wng fro to day...💯🥷
2026-05-31 16:54:34
1
Saimon Sangu :
saf kabsa ❤️❤️❤️
2026-05-30 09:38:47
1
To see more videos from user @tripple_brothers, please go to the Tikwm
homepage.