Katika klipu hii fupi, Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe (Allah Amhifadhi) anatukumbusha umuhimu wa kusimama imara na kushikamana na dini yetu ya Kiislamu, hasa katika vipindi hivi vigumu tunavyopitia. Mtaji wa muislamu ni dini yake—tusikubali kurudi nyuma! > Kusikiliza mawaidha na darsa zaidi, usisahau kusubscribe, kulike, na kushare ujumbe huu ili uwafikie wengine. Jazaakumullahu Khayran. > #Uislamu #Mawaidha #SheikhHusseinSembe #SalafNewsTz #Imani - @salafnewstz"/> Katika klipu hii fupi, Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe (Allah Amhifadhi) anatukumbusha umuhimu wa kusimama imara na kushikamana na dini yetu ya Kiislamu, hasa katika vipindi hivi vigumu tunavyopitia. Mtaji wa muislamu ni dini yake—tusikubali kurudi nyuma! > Kusikiliza mawaidha na darsa zaidi, usisahau kusubscribe, kulike, na kushare ujumbe huu ili uwafikie wengine. Jazaakumullahu Khayran. > #Uislamu #Mawaidha #SheikhHusseinSembe #SalafNewsTz #Imani - @salafnewstz - Tikwm"/> Katika klipu hii fupi, Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe (Allah Amhifadhi) anatukumbusha umuhimu wa kusimama imara na kushikamana na dini yetu ya Kiislamu, hasa katika vipindi hivi vigumu tunavyopitia. Mtaji wa muislamu ni dini yake—tusikubali kurudi nyuma! > Kusikiliza mawaidha na darsa zaidi, usisahau kusubscribe, kulike, na kushare ujumbe huu ili uwafikie wengine. Jazaakumullahu Khayran. > #Uislamu #Mawaidha #SheikhHusseinSembe #SalafNewsTz #Imani - @salafnewstz"/>

@salafnewstz: Uislamu Ndio Rasilimali Yetu, Tuthibiti! — Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe > "Uislamu ndio rasilimali yetu, uislamu ndio mtaji wetu. Tukipoteza uislamu, tumepoteza kila kitu..." > Katika klipu hii fupi, Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe (Allah Amhifadhi) anatukumbusha umuhimu wa kusimama imara na kushikamana na dini yetu ya Kiislamu, hasa katika vipindi hivi vigumu tunavyopitia. Mtaji wa muislamu ni dini yake—tusikubali kurudi nyuma! > Kusikiliza mawaidha na darsa zaidi, usisahau kusubscribe, kulike, na kushare ujumbe huu ili uwafikie wengine. Jazaakumullahu Khayran. > #Uislamu #Mawaidha #SheikhHusseinSembe #SalafNewsTz #Imani

SALAF NEWS TZ
SALAF NEWS TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 30 May 2026 08:16:37 GMT
556
60
0
3

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @salafnewstz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About