@tarakeatv: Mastaa waliyo guswa na historia ya ben pol ,alivyo filisika hadi akakosa elfu 3 ya umeme na kurudi nyumbani kwa wazazi kuishi na kuanza upya tena maisha
Nimejifunza usiogope kuanza upya Mungu ni mwaminifu🙏
2026-05-30 16:23:57
229
patiencebalama :
Hapa sasa mjifunze kitu MWANAUME AKISEMA HANA HATAMIA SIYO HANA HELA KABISA 🙌
2026-05-30 15:45:11
135
GEE📚 :
Mbona nilicoment lakini kwenye hyo list sipo🤔🤔
2026-05-31 10:28:40
82
MaMa NoNa house of fashion🤗🧥 :
nlipitia hii kitu nyie nyie🙌🙌asikwambie mtu
2026-05-30 15:18:22
51
s23 :
kwann ukutueleza mapemaa😢😢😢
2026-05-30 18:44:10
70
Maggiecandy :
ee Mungu n mimi narud nyumban nikijipa iman kua utatenda
2026-05-30 12:46:08
122
jenifarwonder :
kukubali kushindwa ni moja ya hatua nzuri sana kweny maisha🙏
2026-05-30 14:45:48
100
@Rahmal50 :
mm nimejifunza wazazi ndo watakao kuwa na ss katika shida na raha🥰🥰
2026-05-31 08:44:16
24
Nuru Issa :
KUTELEZA SIO KUANGUKA 🙏
2026-05-31 04:45:05
15
Realflorakaluka💝 :
Tunataka nyimbo sasa umekua kimya sana tumekumc plz🙏
2026-05-30 15:14:59
23
Yuzzöff🧟♂️ :
👏🏾funzo ucogope kuanza upya sema wazaz wtu hawa daah❤️
2026-05-31 09:14:34
15
Levi's :
Kiukweli nyimbo za ben mpaka sasa ziko poa sana sio zakuchuja.
2026-05-30 19:34:37
22
llan👑 soft drinks Driver🥂 :
aisee tujenge nyumbani maana ukifeli sehemu ya kwanza kurudi na kujipanga ni nyumbani❤️blessed kaka tusiogope kuanza upya
2026-05-31 08:56:53
16
sally :
anaesema mungu ana makusudi yake aweke like hapa
2026-05-30 16:57:47
20
𝘔𝘴𝘦𝘤𝘩𝘶_💙 :
😶 No matter how much you feel you’ve lost, or how empty your hands may seem, you have not exhausted the universe. There is always, without fail, an open door of grace waiting to welcome you back, mend what is broken, and give you a fresh place to begin.💪🏾❤️
2026-05-30 16:59:52
29
Rahma🥰 :
mungu atusimamie kwakweli maana safari ya utaftaji ningumu
2026-05-31 05:52:59
6
iam jenny🦋 :
hata Mimi imenitia nguvu sana aisee
2026-05-30 21:24:41
8
francson :
daaah nimejifunza kitu kaka
2026-05-30 14:30:02
29
Mwajuu 💵🔐❤️ :
Munao comments bila kumuelewa njooni like hapa😂😂
2026-05-30 15:50:07
8
Baba 3smah tz🇹🇿 :
daaaaah wakat mungu ndio wakat sahihi..
2026-05-30 19:01:08
10
To see more videos from user @tarakeatv, please go to the Tikwm
homepage.