@madam_leila: Wanasema hesabu hazidanganyi, na kwenye mapenzi pia ukiingiza data feki, usitegemee jibu la kweli. Ukikosea njia, utakosea na jibu. đ§źđŻ Je, umeshawahi kupiga hesabu zako zote ukajua umejibu sawa, halafu maisha yakakupa maksi sifuri? đ Tag mtu unayejua ana "A" ya math lakini kwenye mapenzi ni mtupu!
Madam Leila
Region: TZ
Saturday 30 May 2026 11:22:47 GMT
Music
Download
Comments
MarsđđŻâš :
mm ntatembea mpakaa nifiee njianiiđđđđ
2026-05-30 11:31:43
39
Imâ€ashđ :
mimi mbaka nikiona simu naogopa nasema nimefanya niniđ
2026-06-01 03:44:57
22
chachuli :
mimi Niko Zanzibar ntazama baharini
2026-05-30 17:13:28
14
@elsie24 :
Nita tembea dunia yote kabisaa.đ
2026-05-30 12:11:54
17
neematilya930 :
na sio kwamba atujui kwamba awatupendiđ
2026-05-30 11:33:32
11
fadhili :
Mimi niko Congo nitatembea mpaka nifike tanzania
2026-05-30 11:33:07
9
â€ïžâđ©č sha...đ«đŠ :
Mimi nitafata njia ya Makkah lazima nifike huko bila hata call
2026-05-30 18:33:39
5
Jackie :
mpk wiki inakata hatutumian sms wala nn na tunapendana đđ watoto ndo wanawaza kutafutana saiz tupo busy kutafuta hela đ
2026-06-01 15:11:33
3
thaliy gift & wrappingđ :
sahii saa 9:33usiku na yupo hewaniđ
đ
đ
đ
đ
2026-05-31 00:33:50
1
said platinum :
Mimi nitafika sayali nyingine đ nitafika Jupiter đ
2026-06-04 18:54:52
2
mankashoo2025_shoes kariakoo :
Mwendo nimeumaliza Manka mimiđđđ„čđ„č
2026-05-30 18:57:17
2
fettyally :
kikubwa uzima
2026-05-30 16:37:03
1
m đ„°cute :
Mimi huyoo mpaka kahama
2026-06-02 11:32:16
1
Twinkle Muna :
đ„°đđ Mpendwa mteja
2026-06-01 06:02:31
1
Naomie747đšđ©đšđŹ :
mimi Niko Congo naweza fika ata marekaniđ„čđ„čđ„čđ„čđ
2026-06-06 17:43:03
1
đ
ÂŁ^# :
đđđđđmniache
2026-05-30 15:36:15
2
user6641390694264 :
mpaka mwisho wa duni da leila
2026-05-30 19:59:42
2
queen lee :
wajina wangu natamn siku moja nionane na wew ana kwa ana inshaallah
2026-05-30 12:09:34
2
lastbornđ„°đ„°đ„° :
đđđđđđđđđđme si fiki mbali mana akituma sms mbil hakuna jibu anaunga call apo apo
2026-06-01 05:28:32
1
COCO-G :
Ila watu humu đ€Łđ€Łđ
2026-06-12 22:40:35
0
freesoul030293 :
Niko hapa na sijali
2026-06-14 08:23:01
0
Ruwaidah :
Allah akulinde Mume wangu Asante sana kwa kunijali
2026-06-13 13:01:05
0
Relia :
mwendo nimeumalizađđ
2026-05-30 13:10:47
0
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.