@raj_singo: Video kamili ipo YouTube Channel yetu ya Singo Media nenda ukaitazame yote ujifunze zaidi inshaa'Allah. #viral #creatorsearchinsight #tanzaniantiktok🇹🇿 #trending #reels
huyu atakua kiongozi wa kislamu taifa siku sio nyingi tunzeni comment yangu waislamu
2026-07-16 12:39:43
6
..... :
huyu sheikh ananifanya me kuufatilia uislam na kusikilizq mambo mengi kuhus uislamu
2026-07-15 12:01:16
34
rITZrOTZ ♊ :
watoto wa magomeni ķesi zao hua wanakupa mda kwanza, halaf tunaanza fungua ma file,. tupe ma file sheikh wetu 😊
2026-07-16 16:31:41
1
🧿🧘🏽Dr Njiku🧘🏽🧿 :
Hii Ndio dhahabu yetu walidi
2026-07-15 17:36:36
14
GoldenBoytzjr :
huyo shekhe wamaana kabisa 😢
2026-07-15 10:33:13
14
msema kweli :
au supika
2026-07-15 23:44:41
1
ᵀʰᵉʳᵉᵃˡ_ᴹᵗᵃⁿᵍᵒ ᴶʳ🦨 :
shekhe wa taifa sio mkoaa
2026-07-15 19:55:40
8
George Mushi :
jamaaa anaandaliwa kwa nafasi kubwa na mwenyezi Mungu
2026-07-16 14:31:20
1
Ghost General :
bonge moja shekh na huyo anafaaa kuwa mufti kabisaaa
2026-07-15 18:50:30
7
milaj :
mungu atamfanyia wepes
2026-07-16 06:59:34
1
Fundukin :
ww mungo, ulisema mwanafunzi ni bora aside darsa ila so kukosa maulidi
2026-05-30 19:17:09
5
Meas redmi :
kwaiy tukaswali kanisani
2026-07-16 00:50:29
0
frank.mcb :
Sheikh bora kuwah kutokea tz
2026-07-15 16:31:48
2
Doctor Abdallah :
Haijalishi tunakupenda au atukupendi Ila BAKWATA wamekosea Sana kufanya maamuzi ambayo sio sahihi kwenye dini ya Allah...kwa wakati kama huu nilitaraji busara itumike na Allah alivyo tufundisha katika vitabu yake na mitume yake...kweli au si kweli kutoka na kesi ilivyo lakini sio sahihi kumtoa kwenye madalaka. Kwasababu inaonesha dhahili wapo mashekh walikua wanasubilia ateleze ili wao wapate nafasi .... Hivi sio Allah na mitume yake ilivyo fundisha....Tulitaraji hekima na busara zitumike kwanza kabla ya kumuondoa kwenye madalaka
2026-07-15 13:04:22
4
Fredoo :
Ila Tanzania😂😂😂😂😂
2026-07-15 12:16:46
1
Lucy Mlelwa :
namuelewa kuliko ninavyo jielewa
2026-07-15 11:13:57
4
Barakat mussa :
Allah akulinde
2026-05-31 11:50:00
5
rayshkeykeyraa :
sadaqa
2026-05-31 11:38:59
2
juma :
kwe kabisa
2026-05-30 13:50:12
3
NASIR YAHYA RICKADY :
sadaka
2026-07-15 13:26:25
1
Katerelo Mkuyati :
INNALILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN
2026-07-11 18:38:23
1
Abiyadhi jr :
fact
2026-07-16 17:52:56
0
it's..jabibi..008 :
2026-07-15 15:04:26
0
To see more videos from user @raj_singo, please go to the Tikwm
homepage.