@rahma_daudofficial: Draft ngoja niziachie kwa fujo sasa Cm ipunguze Mzigo.#Rahmafacebeat #Foryou #Fyp #bittertruthofoursociety #tanzaniatiktok

𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 30 May 2026 12:23:41 GMT
58635
4694
269
183

Music

Download

Comments

user48470149037953
priscy111 :
mimi sina rafiki kabisa mpk uwa najishangaa🥺
2026-05-31 05:51:34
23
tricy47
TeeMeela🌹🦋 :
Akina PISCES Hii ni yetuu🥰😩😩
2026-05-31 12:44:55
16
queenma750
Pretty :
yaan leo nimesikiliza kitu ambacho kinanitesa sana mm wallah
2026-05-30 18:10:52
10
happymwakibolwa
blackbeauty :
haya GEMINI ♊️wenzangu inatuhusu hili coz tunayapitia sana haya
2026-06-02 07:23:29
3
ginevra_076
@ginevra :
Mungu akubariki mnoo .Tunapona , tunabadilika na tunaendelea kila iitwapo leo kupitia wewe . Uongezeke kila unapopungukiwa 🤲
2026-05-30 18:03:01
7
witnessjjk
witness jkw :
kiukweli wewe mrembo wa kiroho ,mungu akutunze sana
2026-06-01 19:06:39
8
veronica.lukanda
Veronica Lukanda :
Amen and thank you for your service be blessed. Maana unachoka kabisaa hali mbaya kila sehemu mpaka unashangaa.
2026-05-30 13:50:15
8
vivavioler89
vivavioler89🍇🍒 :
U made my day Nilikuwaaa down the whole week 🥰
2026-05-31 08:16:47
3
hadja.shalfu
Hadja Shalfu :
yani mdogo wangu mimi kila siku rafiki wakweli sina sipendwagi hata
2026-06-01 13:56:05
1
villy639
𝓥𝓲𝓵𝓵𝔂 :
Dada angu kila siku unaniongelea me 😅🥰Tena wadada ndo wananichukia sana 😂😂
2026-05-31 08:00:45
6
mummy._keshakes27
mummy _keshakes27🥰🤑 :
duh umenipa moyo jmn had hiv Sasa marfik zangu ni watotot wangu 🥰🥰
2026-05-30 14:04:44
5
magetu2
magetu :
da rahma nakupendaa umenifanya nimekuwa na furaha leoo.
2026-05-30 13:15:21
5
omega.suzy
Omega Suzy :
yaani Leo umenigusa sana maana sijawai kupendwa ata kidogo jamani
2026-05-31 08:36:56
2
user481682151
Salma :
Asante dada rahma 👌👌👌🥰🥰🥰
2026-05-31 05:11:47
1
roukhy01
Roukhy🤎 :
Kumbe nilikua sijui
2026-05-30 16:57:38
2
emmilianabakari
emmilianabakari :
Daah! mimi huyo 🙏🙏
2026-06-02 13:03:08
1
tullybukuku
Tully Bukuku :
hallelujah 💝 nikama ulikua unanielezea mimi walah nmeanza kuelewa kilichopo ndani yangu lakn late🙏
2026-06-05 19:19:47
2
ishiy.momo
ishiy.momo🦋🖤 :
hatimaye leo nimejijua 🥰🥰🥰
2026-06-03 04:17:23
1
fatty.baby0
Tanga girl :
Asante da Rahma huyu ni mm kabisa mpaka najihis nina mkos wa dunia kusingiziwa vitu ambavyo sijafanya ndo usiseme
2026-05-30 18:01:06
5
elizabethbeatus86
Elizabeth Beatus :
asante dada mi nachukiwa san na staff wenzangu ila boss ananipenda
2026-05-31 04:43:10
2
cindy_lubricants_dodoma
Cindy_lubricants_dodoma :
Thats veryy trueee 🥰🥰
2026-05-30 14:37:20
2
jp346107
JP :
dada huwa unanibariki sana god bless you
2026-05-30 15:51:48
1
user94045960096195
user94045960096195 :
shukran sana dada rahma Allah akujaze kila la kheri
2026-05-31 04:43:15
1
ms_queen032
ms_queen♌ :
Asante sana dada nakuelewa na toka niongee na wewe sijawai kujutia ❤️❤️
2026-05-31 07:26:42
1
aminajumamoh
Amina Mohamed :
ili nifanikiwe nahitaji MARAFIKI na hili nifanikiwe zaidi nahitaji MAADUI naleo ndio nmemuelewa Pro J....asante sana binti Daud ailafyuuuu🥰🥰
2026-06-04 18:05:14
1
To see more videos from user @rahma_daudofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About