@nasir_mansour_ijumaa: FAIDA ZA KUKANDA UUME KWA MAFUTA YA KARAFUU 1. Kuongeza mzunguko wa damu kwa muda mfupi kutokana na hisia ya joto inayotokana na karafuu. 2. Kutoa hisia za msisimko kwa baadhi ya watumiaji. 3. Kusaidia kulegeza misuli ya eneo husika wakati wa masaji. 4. Kuwa na sifa za kupunguza baadhi ya vijidudu kutokana na kemikali ya eugenol iliyopo kwenye karafuu. 5. Kusaidia kulainisha ngozi ikiwa mafuta yamechanganywa na mafuta mengine salama kwa ngozi. Kwa matibabu wasiliana nami #nguvuzakiume #fouryou #fouryoupage #trendingvideo #tiktokviral