@alfaqeerhabibawadh:

𝗔𝗟𝗙𝗔𝗤𝗘𝗘𝗥 𝗔𝗕𝗘𝗜𝗗 🌹
𝗔𝗟𝗙𝗔𝗤𝗘𝗘𝗥 𝗔𝗕𝗘𝗜𝗗 🌹
Open In TikTok:
Region: QA
Saturday 30 May 2026 15:23:11 GMT
53421
3035
165
496

Music

Download

Comments

user3714728392802
Mr:dube :
Ya Alllah nipe subra ....Wallahy nimesoma.huu ujumbe naona kama umenilenga mimi machozi yananitoka....Nipe subra Ya Allah.
2026-05-31 11:47:02
41
rahma.thuva
Rahma Thuva :
ujumbe mzuri mashallah ila mme wangu hapambani anashinda kulala , lkn sijawai kumsaliti
2026-06-01 05:31:05
14
yussufn.hussein
Eddycool :
🥹🥹 I feel like this is me He is talking about
2026-06-12 15:58:48
0
bashir.hassan663
Bashir Hassan :
mungu wape ufaham na nyoyo za huruma wake zetu
2026-05-31 14:49:54
12
ummy5303
ummy ☺ :
Allah azidi kumfanyia wepes mmewng wallah nampenda na wala sijapanga kumsaliti na sitoweza kufanya icho kitu kamwe🥺🥺
2026-05-31 18:00:58
14
mwana9705
mwana :
Yaallah nakuomba unijaalie mume mwenye kher na mimi na mwenye hofu ya allah umjaze rehma nyingi awe niwakukumbuka kila jema umuepushie kila lenye shari na yeye
2026-06-02 19:09:52
3
mwana1920
Mwana :
allah anijarie mume mwema 🤲🙏❤️
2026-06-07 16:15:14
1
ummru7
Ahlam :
Allah atupe mwisho mwema
2026-06-01 15:51:05
2
user436675961
Khadija :
😭😭😭😭😭 Ya Allahu nakuwomba wakat utakaye Nipa mume mwema Kwa mayisha yangu nakuwomba kuwa musimamiz wanyumba Yangu uniwezesh kuwa kivuri ca mume wangu Ya Allahu 🤲🤲🙏😭😭
2026-06-11 20:42:46
1
maheralsheyban
ماهر :
Ya ALLAH wajaliye kila mwanamme anayetafuta risk kwa jasho hitaji la moyoni mwao ameen 🥺🥺
2026-05-31 18:47:25
7
beboo_8888
. :
shukran Kwa naswiha🙏
2026-06-02 08:20:18
1
thomy37060
Minahismail123🦋 :
Allah mfanyie wepesi mume wangu
2026-06-01 06:39:46
3
secretjinn2
🆂︎🅴︎🅲︎🆁︎🅴︎🆃︎-🅙🅘🅝🅝★ :
Allah amlinde mume wangu atuzidishie mapenzi na subra mpaka kuzikane pamoja in sha Allah😭🥰🥰
2026-06-03 16:09:35
2
asmaah66
اسماء :
Allah atuhifadhi Mie namumewangu tusisalitiane.naonajitihada Zake kwangu alhamdulillah Allah azid kumfungulia ridhki na amps nguvu na Afya ameeeen
2026-06-04 09:46:17
1
saadaa912
cuty :
ya Allah nipe subra ya kumsubiri mwenza wangu yaraby 🥺🥺🥺
2026-06-01 05:24:35
9
rahmastylish2
Rahma stylish :
Ya Allah mlinde mume wangu 🤲🤲🤲🤲😭😭😭🤲🏼🤲🏼🤲🏼🙏🏽🙏🏽
2026-06-01 20:05:32
1
user1314481090768
munira :
ya Allah muhifadhi mume wangu na kila shari na kila balaa mfungulie njia ya rizi halali na umjalie furaha katika maisha yake ya duniya na kesho akhera
2026-05-31 20:03:29
7
mmraucollection
mm rau collection :
mh
2026-06-03 03:48:10
1
mamake.chimami
mamake chimami :
subhallah
2026-06-02 15:35:18
1
jannathajilla
jannat 🦚🌻 002 :
Allah atupe kinaa na subra🙏🤲
2026-06-02 08:11:53
3
hilmi.saleh0
Hilmi Saleh :
Akhera kuna Mambo
2026-06-02 05:20:05
1
djimmu
IMMUDJ :
Ujumbe umenilenga mimi lakini Allah atanipa nguvu alhamdulillah🙏🙏
2026-06-01 06:09:22
4
abuudhal
Abudhary :
Allah atujaalie mwisho mwemaa 🤲🏾
2026-06-01 05:12:26
2
salah.ali146
SALAH ALI :
Allah awaabarq wtee inshallah ❤️❤️🥹🥹
2026-06-01 11:27:16
1
sisters.0012
Sister's 001 :
Allah mfanyie wepesi mume wangu katika kazi zake hakika nampenda sana
2026-06-02 17:15:11
1
To see more videos from user @alfaqeerhabibawadh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About