@dropcultureedm: Galantis comeback at Tomorrowland Winter 2026 was unexpected 🔥🥹 #galantis #edm #festivalseason #tomorrowland #rave

DropCulture
DropCulture
Open In TikTok:
Region: US
Saturday 30 May 2026 16:14:35 GMT
2102
68
2
6

Music

Download

Comments

dropcultureedm
DropCulture :
Do you miss the old Galantis? 🥹
2026-05-30 16:14:53
1
felixvitae
daniel :
It's the same haircut he had 35 years ago 🤣
2026-07-08 02:32:22
0
To see more videos from user @dropcultureedm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

FANYA HIVI ILI USIUMIE TENA UKIKUTA HAKUNA MIMBA (Negative) BAADA YA KUPIMA.👇 Kama huwa unapima unakuta hakuna mimba halafu unaumia, unakosa raha kiasi cha kususia kupima tena basi kuna kitu huwa unakosea.
FANYA HIVI ILI USIUMIE TENA UKIKUTA HAKUNA MIMBA (Negative) BAADA YA KUPIMA.👇 Kama huwa unapima unakuta hakuna mimba halafu unaumia, unakosa raha kiasi cha kususia kupima tena basi kuna kitu huwa unakosea. "Huwa unakosea kukipangia kipimo majibu ya kukupa." Wengi kabla hawajapima hukipangia kipimo kitoe mistari miwili (positive) wanasahau kazi yao siyo kukifanya kipimo kitoe mistari miwili bali kazi yao ni kupima. Ukimaliza kupima kiache kipimo kitoe majibu chenyewe. Ukikipangia majibu kuwa hapa lazima kitoe mistari miwili na ukaja mstari mmoja ndipo hasira na makasiriko huanzia. Kazi yako kupima pekee. Kutoa mistari miwili au mstari mmoja ni kazi ya kipimo siyo kazi yako. Jaribu leo kutokujiba kazi ya kipimo uone kama utaumia baada ya kukuta hakuna mimba. Wanaosema wanaogopa kupima mimba wote hujipa kazi ya kipimo (kukiamrisha kitoe majibu fulani) badala ya wao kufanya kazi yao (kupima).😀 JIFUNZE KITU HAPA.👇 Kuna mama mmoja saivi ni mjamzito miezi minne alipitiliza tarehe baada ya kutumia juisi. Alitakiwa aingie period mwishoni mwa mwezi wa kwanza (January 2023). Akaniambia nimepitiliza siku wiki moja nikamwambia pima mimba akasema ngoja nisubirie wiki nyingine. Akasubiria ikaisha wiki ya pili akanitafuta tena nikamwambia pima mimba akasema naogopa hata hivo huwa ni kawaida yangu kupitiliza ngoja nitumie tangawizi kali na karafuu nyingi damu itatoka tu. Baada ya mwezi kupita akanitafuta Dr. Said nimepitiliza mwezi sasa sioni period lakini najihisi tu homa nadhani period inataka kutoka ila haitoki. Nikamwambia nimekuwa nikikuambia kupima mimba hutaki unataka nikusaidiaje?. Akasema ngoja nisubirie kidogo isipotoka nitapima. Nikamwambia poa. Akawa kimya mwezi mzima na nusu akanitafuta tena period haijatoka ila naogopa kupima. Nikamjibu sina cha kukusaidia mpaka upime mimba. Akasema ahsante dokta. Wiki mbili baadae akanitafuta anasema ilibidi niende hospital nikapime nimekuta nina ujauzito wa miezi mitatu na wiki moja. Nisamehe sana nifanyeje dokta maana katika miezi mitatu ya mwanzo kuna vitu mjamzito anatakiwa atumie ili mtoto asizaliwe njiti, asizaliwe na kichwa kikubwa wala mgongo wazi pia shingo iwe imekaza. Najiona tayari nimechelewa na sijavitumia nifanyeje nachanganyikiwa mimi?. 😪 Nikamuuliza nimekuambia kupima mimba mara ngapi akasema mara nyingi sana. Akasema nimsamehe. Nikamwambia wala hujanikosea mimi bali kama tatizo litatokea kwa mtoto ujue ulijiharibia mwenyewe.😪 Je, wewe huwa unaogopa kupima mimba kwa kuhofia itakuja negative yaani mstari mmoja?. #SAID_UZAZI.

About