@kazirankanda: Usipaniki mama… hii ni kawaida kabisa! 😊 👶 Dalili hizi zinaonyesha mtoto wako anakua vizuri: ✔️ Kuweka vitu mdomoni kila wakati ✔️ Kutafuna mikono yake ✔️ Kutokwa mate mengi ✔️ Kuwa na hamu ya kushika kila kitu 💡 Hii mara nyingi ni ishara ya meno kuanza kuota au maendeleo ya kawaida ya ukuaji. 🚨 Lakini kuwa makini kama: ❌ Mtoto analia sana kupita kawaida ❌ Anakataa kula kabisa ❌ Ana homa kali 👇 Mtoto wako anafanya hivi? Niambie kwenye comments 👇 ❤️ Like 💬 Comment 📤 Share ➕ Follow kwa elimu ya ukweli kuhusu watoto 👶💙
Kanea
Region: TZ
Saturday 30 May 2026 18:56:02 GMT
Music
Download
Comments
happyndelwa1 :
Anadalili zote hy ya mate ndio balaa na anamiezi 2
2026-06-02 19:49:39
13
Mr Tamu🍫 :
kidume changu #Azelboy anafanya hivyo hakika Alhamdulillah mungu amkuze salama furaha yangu
2026-06-25 06:39:44
6
babytrace :
yani hy mwanangu kabisa huwa anafanya hv
2026-05-31 05:04:59
5
Lissa Lamosai :
wangu anasiku 6 tu ila anafanya hvy
2026-06-02 05:37:24
1
Officialyfey :
wangu mwezi mmoja tu anafany ivy
2026-05-31 23:21:53
5
mom nah🥰 :
wangu had kuosema jamna namshukuru mungu anitunzie binti yangu Gabrinna
2026-07-04 20:43:18
1
lujo mashuka :
waooooh mwanangu jmn
2026-06-09 16:42:57
1
Patrick :
wangu miezi 2 ana afanya Ivo sana
2026-06-27 22:24:53
0
zote dalili amazon miezi4
2026-06-24 04:16:00
0
nasra adeli :
Asante mungu mwanangu anakua
2026-07-04 09:38:02
0
@mrsJJ :
wangu miezi 4 anafanya vyote hivo
2026-05-31 20:49:15
1
Elizabeth Beth :
yaani kama wangu iseee🥰🥰NAMPENDA sana
2026-05-31 16:53:23
2
baby cet :
wakwangu anafanya🙏🙏🙏
2026-06-18 08:26:11
0
kisura :
wangu miezi 3 anafanya ivo
2026-06-04 20:04:41
2
Swaumu Bwilo :
Namshukuru mungu dalili zote Anazo sm time anashika Ata mkono wangu Anataka kuweka mdomoni.
2026-06-05 20:04:01
1
mine Zuuh :
dalili zote mwanangu anazo nafurahi jmn ety
2026-06-04 21:00:08
1
Merveille Grâce Ansima 🥰 :
Wangu ana fanya ivi
2026-05-30 20:17:35
0
@mrsJJ :
wangu miezi 4 anafanya vyote hivo
2026-05-31 20:49:15
2
Periri 🌷☘️ :
Wangu miezi minne anafanya iviii
2026-06-11 00:06:01
0
Ashura junior02 :
hujakosea
2026-06-07 20:21:19
0
Husnah ♍️ :
Alhamdulilah 🥰🙏
2026-07-12 19:40:40
0
Happie🦋 :
Nafurahia hii kwakweli mwanangu anafanya ivo vyote😊
2026-06-12 14:46:51
0
Smartlady🦚♥️ :
wow🥰 wangu ana dalili zote iliyo zaidi hiyo ya kupenda kupeleka kila kitu mdomoni
2026-06-08 22:23:22
0
mkami75 :
wangu pia nilikua naogopa kumbe ni normal
2026-06-10 18:09:58
0
divahhcute :
Hataki kula kabisa
2026-05-30 20:38:30
0
To see more videos from user @kazirankanda, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.