@kitonga_home_furniture: 👉 Ukilala hapa unaelewa tofauti ya kulala na kulala KIFALME 👑🛌 👉Hiki sio kitanda… ni sababu ya kuwahi kurudi nyumbani 😍🔥🏃♀️ 🪵👉Design ya kipekee, original material na muonekano una vuta attention ya Kila anae kiona. Size ni 6 kwa 6 location Mwananyamala A