@abuu.bakari506: #creatorsearchinsights

Abuu bakari
Abuu bakari
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 30 May 2026 19:36:29 GMT
63852
2164
219
14

Music

Download

Comments

sharboe5
exquisity :
hustle 😢🫵
2026-07-12 02:46:08
0
ambrosy.david
Ambrosy David :
Mtu mzima kuomba samahani ni huruma sana
2026-06-22 21:06:12
108
georgelusana0
georgelusana0 :
huyo boda fala sana
2026-05-31 04:52:04
75
zachaliazachalia9
MESHACKlukenzarahabu :
na hapo unapikipiki vip ungelikuwa 🚌🚐🛻
2026-07-10 19:52:01
10
nuru.jacksoni
🫶nuru❤️❤️💞 :
naomba namba yauyo mzee nimtumie ela yasoda anabusara sana mwenyezi mungu amlinde🙏❤️
2026-06-30 20:09:36
14
badruhossen
......@...... :
naomba nisameh ndugu yang...
2026-07-12 09:05:43
2
brown_9719
brown :
😢😢😢 nimekuomba msamaha ndugu yangu
2026-05-31 04:42:51
28
mrommy39
Mr ommy :
zima camera msaidie mzee
2026-06-22 21:09:16
13
user97446000283592
Hassan kalele % :
20/20 NALIPA 🙏🙏🙏🙏 %
2026-07-10 05:57:19
0
manka.abel
manka abel :
Nimependa busara yake Maana msamaha nimaneno sita
2026-06-23 07:32:10
10
pmchuchu2
P mchuchu🦋 :
Baada akasaidie linalekodi 🙌vijan wetu awa
2026-06-22 21:26:33
6
iam.macho
iam macho :
anajiona kama anamiliki Benz wema akiba
2026-07-02 06:31:41
4
user1682709257937
ankoradhi :
sema Nini wanangu masikini tunazaraulika sana ivi ikitokea Hali kama hii tunafanyaje yaani mtu anakuacha bila kukusaidia
2026-06-24 12:04:42
9
gregory.kuyela
Gregory Kuyela :
pole mzee🥲🥲
2026-06-27 16:31:13
1
samwel.alex.pamba1
HUSSEIN KHAN :
iyo ni kingi afu namba c
2026-06-27 11:10:58
1
new.generation1235
New generation123 :
Jamaa ana hekima sana mwenye baiskeli
2026-06-23 23:55:18
3
happynesscutehapp
cutehappy2 :
Mungu msaidie huyu baba ana hekima sana afanikiwe aache kuuza mkaa🙏🙏
2026-06-26 18:14:44
1
saumjengi3
Qauthary 💋💝 :
huruma sana, wanachoka mno,ana mzigo pia, ila ana hekima mzee wa watu.
2026-06-07 09:50:45
7
mapesajuma45
Mapesa Juma45 :
lmeniuma san hiiii kitu
2026-06-19 20:52:39
7
mickdad.silas
Mickdad Silas :
dah umasikini ni laana kabisa😢😢 pole sana mzee wangu
2026-05-31 07:46:38
7
naomi.hassan60
NaNa🦋🦋 :
pole baba angu imeniuma sana
2026-07-08 18:26:44
1
totobayajrgmail.c
[email protected] :
Mzee anaomba msamaha na, bado unaendelea kumkolomea,
2026-07-12 04:36:00
1
dativagabriel
dativagabriel :
ameomba samahani jmn
2026-06-23 19:03:50
2
agness.alex20
ag :
ila jamn
2026-06-04 05:37:50
0
adamndile355
Adam Ndile :
umaskini daaa 😭
2026-05-31 12:13:34
3
To see more videos from user @abuu.bakari506, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About