@jamiivoice_: HABARI: Hayo yamejiri Wilayani Manyoni Mkoani Singida leo Mei 30, 2026 wakati wa ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba. Kamishna wa Ardhi amelalamikiwa kukwamisha kutoa Hati kwa madai eneo hilo lina mgogoro na kesi ipo Mahakamani, licha ya Mahakama kuhitaji hati ili iweze kutoa haki.
Jamii Voice
Region: TZ
Saturday 30 May 2026 19:44:15 GMT
Music
Download
Comments
Eleonora Steven :
asante Sana baba ubarikiwe
2026-06-16 10:06:48
1
JOHN G MBISE :
nimekukubali mkuu
2026-06-04 19:48:46
2
Juliana masalu :
Hongeraaaaa waziri mkuu
2026-06-02 17:22:19
1
merry.mrema_ :
MUNGU ameweka kitu kikubwa cn kwa waziri wetu,tumuombee cn afy na azidi kutumikia watanzania🥰🙏
2026-06-02 12:49:05
1
Debora Mallya :
baba umetenda haki
2026-06-03 19:41:51
1
Ashura :
ongela wazili wangu
2026-06-12 14:00:07
1
Grace Kihwili50 :
wazir🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-13 10:00:12
0
zainabuayubuamri :
Asante sana waziri
2026-06-05 08:39:16
1
Fadher Msagati :
imeisha iyo
2026-06-09 09:42:19
0
Sephoronia Philipo :
mmenena
2026-06-02 11:06:52
0
user2196213656392 :
asate sana wanzir wetu jmn
2026-06-07 16:22:17
1
neemamunuo4 :
yani baba nakupenda wewe mungu akuweke miaka
2026-06-09 21:31:23
0
Peter Mwanlyela :
balikiwa sana waziri
2026-06-12 09:54:14
0
Aisha :
safi sana
2026-06-08 14:19:07
0
innocentantony815 :
hapo nimekupongeza
2026-06-01 09:13:41
1
BABY STAR1🌟 FOOD POINTY :
waziri asante tunaona makufuli yupo hai
2026-06-02 23:09:52
0
Sephoronia Philipo :
wazili nakupenda bule
2026-06-02 11:07:20
1
MASHAURI 2680 :
Akili kubwa sana mh waziri
2026-06-11 11:43:31
1
ISAAY BOY% :
Duh Mwigulu mbn kama tunaona mwangaa wa urith wa Baba Magu
2026-06-06 18:31:25
1
Maya :
Mungu akutunze waziri mkuu ktk kazi yako wanyonge Mungu ametuletea mtetezi wetu🙏
2026-05-31 13:14:38
0
Grace Kihwili50 :
eneo lao Kwa majibu hayo
2026-06-13 09:59:52
0
POCHI NENE :
sema kama mjomba toa hati bas
2026-06-08 11:51:47
0
Theverybigshop :
Usalama wa kijana u shakani!
2026-06-11 04:02:57
0
John Gabriel :
wasiri mkuu Mungu akulinde ili uwa nyooshe wakome
2026-06-07 14:17:40
0
malug :
kijana Yuko vzr
2026-05-30 22:48:51
0
To see more videos from user @jamiivoice_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.