@drenockp1: Maumivu ya mgongo siyo ugonjwa… ni ALARM ya mwili wako #backpain #America #Usa #Tanzania #fyp

Ilinde afya yako/+255758829166
Ilinde afya yako/+255758829166
Open In TikTok:
Region: ZA
Sunday 31 May 2026 02:26:36 GMT
193004
2151
57
164

Music

Download

Comments

felex.yh
Joa.Felix :
Me nko n mwaka n zaid juu ya maumiv ya mgongo
2026-07-26 06:22:58
1
miss.shadow7
miss shadow :
Mimi nilijifungua kwa oparetion kuanzia hapo matako yanauma kama nimekalia mfupa na mgongo hadi kwenye kiuno
2026-07-29 12:09:14
1
niz88061
niz :
Asante mm naumwa sana na sasa minguu siwezi kutembea
2026-06-28 04:04:03
3
strong.gal005
humble gal005 :
Nini shida aki Ata nikichimua naumwa
2026-07-28 10:46:47
1
elizabethmalikoel
msukuma kenya :
je mimi nifanye nn
2026-07-29 10:01:16
1
ruth.kemuto
kemm's ruu :
naomba please mungongo na mguu please nisaidie
2026-07-24 09:09:36
1
clarisekahambu
Clarise Kahambu :
Merci
2026-07-26 13:03:03
0
sarah.j74
Sarah.J :
naumwa Sana naomba usaidizi
2026-07-04 11:09:21
4
editha8415
Editha :
Asnte sana mimi nina mwez 6 naomba nisaidie
2026-06-27 11:15:11
2
mum.prince74
sharon :
doc iyo shinda niko nayo
2026-07-26 04:12:25
0
_130milimeter
blessings :
Mimi pia napata hiyo shida
2026-07-04 20:45:27
1
kulthum.salim3
Kulthum Salim :
Mimi nilipojifungua tu maumivu yakaanza je ni shida ya nini ?
2026-07-06 03:47:40
2
mheshimiwa98
Mheshimiwa :
mm mgongo unanisubua hasa nikibeba kitu kizito ila kuna dawa nakula ila nikiacha kula hali ya maumivu hurudi please 🙏 nisaidie
2026-07-22 19:47:37
2
rachidimasudi85
rachidi :
naku pata vipi
2026-07-21 22:12:52
1
princess.abera8
princess abera :
saw docta ni mimi hapa
2026-07-23 13:21:17
1
phloz38008279993637
phloz shii🥰 :
naomba usaidizi Kwa wiki mbili mgongo unasumbua ata kuinama kuchukua kitu imekua nishida
2026-07-22 22:06:48
1
salimaa11111
salimaa11111 :
asante
2026-06-06 07:03:58
0
akily718
akily :
habar
2026-05-31 13:51:46
1
chieffmutwamunufu
chieffmutwamunufu :
mm yamenisumbua san Mpaka Sasa ganzi inanisumbua kwenye miguu na Mikono
2026-07-29 12:49:26
0
ukhty.nira
spark and shine with nira :
mm naumwa jaman had bas
2026-07-25 17:02:43
0
elizabethmalikoel
msukuma kenya :
j
2026-07-29 10:00:45
1
user9663613736135
user9663613736135 :
namm jmn nixaidie
2026-07-28 18:17:54
0
sarah.njoroge00
sarah njoroge :
wapatikana wapi
2026-07-29 12:11:56
0
melemajala40
Melemajala40@ :
ninamiaka mitatu nsumbuka jamn
2026-07-25 21:25:24
0
adexhkah28
Adexhkah :
plz unapatikana wp?
2026-06-28 04:46:13
0
To see more videos from user @drenockp1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About