@natasha.mwasenga: FAIDA ZA MKOJO WAKO WA ASUBUHI BAADA YA KUAMKA Nimekuwa Nikiwaambia mara nyingi matumizi ya mkojo wa asubuhi kwa sababu ya ufanisi wake mkubwa katika Maisha yetu ya kila siku. FAIDA ZAKE ;;;;; (1) Ukiweka mkojo wako kwenye maji ya kuogesha watoto wako utakuwa Umewekwa ulinzi dhidi ya Mtu yeyote anayetaka kuwadhuru, atalazimika mpaka akudhuru kwanza wewe ndio atafanikiwa kwa mtoto. (2) Unaweza kusafisha nyumba yako kwa kutumia mkojo wako uliouchanganya na maji ili kuleta amani kati yako na mwenza wako. (3) Unaweza kunawa mikono kwa mkojo wako unapokaribia kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemwamini. (4) Tumbukiza kufuli lililofungwa na gunguo zake kwenye mkojo wako kisha kalitupe barabarani penye mkusanyiko wa watu wengi pamoja na funguo zake; likifunguliwa maisha yako yatabadilika. (5) Unaweza kuosha uso wako kwa mkojo wa asubuhi ili kusafisha aura yako na kufungua barakaza siku. (6) Unaweza kunywa mkojo wako ili kuondoa mashambulizi au laana katika maisha yako. (7) NAMBA 7 TUANDIKIE NA WEWE MOJA UNAYOIJUA FAIDA YA MKOJO WA ASUBUHI (8) Unaweza kuchanganya mkojo na maziwa fresh , Nipake mwili mzima , kisha acha ukauke kisha ujioshe kwa maji baada ya hapo usijifute acha Ikaukie ili kufungua ndoto zako. (9) Unaweza kuchanganya majivu laini , limao na mkojo ili kuondoa chunusi sugu. (10) Unaweza kunywa mkojo wako ili kupunguza au kudhoofisha nguvu ya hasi, ukiota unakula kitu, kunywa mkojo na pia utafute ushauri. (11) Mkojo wako wa kwanza wa asubuhi ukiwekwa kwenye maji ya kuogea ya mwenza wako yaani Mpenzi wako huharibu uchawi wote unaotoka nje. (12) Unaweza kunywa mchanganyiko wa mkojo wako ili kurahisisha kujifungua haraka kwa MamaAliyechelewa kujifungua. (13) Unaweza kusafisha kidonda kwa mkojo wako ili kipone haraka. NI FAIDA GANI UTAIFANYIA KAZI KUANZIA SASA 🙏