@almasizake68: Eti nitaenda kupambana nae,,😳😂🙌#fyyyyyyyyyyyyyyyy #trendingvideo #viraltiktok #videoviral #viral
almasizake68
Region: TZ
Sunday 31 May 2026 05:07:34 GMT
Music
Download
Comments
Henry :
Amenifanya nimelia sure amenikumbusha kitu😓🤧
2026-07-17 11:27:09
150
Suraiyah the only one :
masingle mama jeuri kama Mimi tujuane apa
2026-07-21 02:25:40
24
MDOGOO :
ingekuwa mimi naondoka na hy wifi😂😂
2026-05-31 05:49:22
297
Waffles56💃 :
Hii km sio moshi ni Arusha
2026-05-31 13:06:40
240
happie♓️ :
nmemuangqlia mwanangu hadi machozi yametoka jmn mungu wafungulie wanawake wote milango ya ridhiki❤️
2026-07-17 16:17:58
63
nonoH❤️ :
Ukiachana na content,ina sound very real🥲👍
2026-05-31 12:35:52
182
Mamu decoration :
😭😭😭😭😭 Nimejikuta ninalia sana nikitu kipo kwangu mungu nitie nguvu niweze kuendelea kumlea yule mtoto🙏🙏
2026-06-01 08:54:36
168
Aisha 🇧🇮🇹🇿 ✨️✨️ :
Mi kwa akili zangu siwezi onyesha mwanangu baba asie jitambua bola tuendelee na maisha yetu ya kupambana
2026-05-31 10:45:41
152
UNCLE J🧠💪🚖 :
😂NI CONTENT TU LAKIN IMEBEBA UJUMBE UZITO 😂😂😂
2026-07-18 17:53:09
36
Zeynab💖💍 :
Nani kalia kama Mimi jamani🥹😭😭
2026-06-01 09:56:08
63
chagga girl :
walio pitia situation kama hii tujuane 😭😭
2026-07-20 06:11:59
5
anitha :
ase umenikumbush mbali saan nilpitia iyo kitu
2026-07-18 14:41:43
6
mamusa20 :
kuna kipande ilinibid nicheke et dafutar moja naandikia masomo yote 🤣🤣🤣jamni
2026-07-20 10:55:57
5
Agripina Sebastian :
mungu atupe uvumilivu wanawake wote tunao pitia hii hali inaumiza
2026-07-16 09:50:55
10
Rama Bakari :
Mungu tusaidie mm n yule anaye soma comment hii watoto wetu wasije aibika
2026-07-19 04:10:09
46
lee@gody😊 :
nimecheka uku machozi yanantokaa🥺🥹🥲🥹
2026-07-17 12:15:16
5
Jogo wa shamba :
kama unaamini dogo ameongea hisia ♥️ap
2026-06-01 21:37:05
25
waysam :
mungu nipenguvu ya kulea wanagu
2026-07-18 04:09:00
5
Kelvin Malisa :
tatizo ni baba na mama
2026-07-17 10:17:08
5
Prisca Kiula :
sijazaa bado lakin nimejikuta nalia aisee
2026-06-02 08:00:23
10
Phiner beauty salon :
Daah ni content ila inaumiza maskini 😔😓😔😔
2026-07-18 08:35:21
5
josephat prudence :
hiv jamani wanaume wahivi wapo ?
2026-07-20 05:27:54
6
Jubii♥️♥️ :
nacheka Kama mazur jamn staki yanikit jamni 😅😅😅🤣
2026-07-18 13:00:26
5
Edinawilliam255 :
mm nirisha zoea kureawanangu tangia niriterekezwa nawatt wamiez na mwaka saiz wakwanza yuko Ra nne wapir ratatu mungu nitunzie wanangu
2026-07-17 09:55:05
9
The mother 🥰 :
mungu nipe afya njema niendelee kulea wale wtt maana wanaume wanatuumiza saana
2026-06-03 17:27:45
7
To see more videos from user @almasizake68, please go to the Tikwm
homepage.