@kamzi.medicore3: Kutokwa na majimaji ukeni kwa mwanamke kunaweza kuwa jambo la kawaida au ishara ya tatizo, kutegemea rangi, harufu, na dalili zinazoambatana nayo. Majimaji ya kawaida: Huwa meupe au wazi (transparent). Hayana harufu kali. Hutokea wakati wa ovulation, msisimko wa kimapenzi, ujauzito, au mabadiliko ya homoni. Dalili zinazoweza kuashiria tatizo: Majimaji ya njano, kijani, kijivu, au yenye damu. Harufu mbaya ya samaki au harufu kali isiyo ya kawaida. Kuwashwa au kuungua sehemu za siri. Maumivu wakati wa kukojoa au kufanya tendo la ndoa. Uvimbe au wekundu ukeni. Sababu zinazoweza kusababisha majimaji yasiyo ya kawaida ni pamoja na maambukizi ya fangasi, UTI, magonjwa ya zinaa, au mabadiliko ya homoni. Ikiwa majimaji yana harufu mbaya, yana rangi isiyo ya kawaida, au yanaambatana na maumivu na muwasho. kwa ushauli na tiba piga/Whatsp +255 715 518 376 #exercise #tanzaniantiktok #kenyantiktok #men #fyp

Kamzi Medicore
Kamzi Medicore
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 31 May 2026 05:38:54 GMT
1192
9
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @kamzi.medicore3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About