Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@clipersukses212: hasilkan cuan cuman hitungan hari di konten.com #kontencom #kontencomxsuli @kontencom_
Cliper Sukses
Open In TikTok:
Region: ID
Sunday 31 May 2026 06:36:18 GMT
105
2
0
0
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.81MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.81MB
)
Watermark .mp4 (
1.72MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @clipersukses212, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Kuna ukweli mchungu ambao watu wengi hawapendi kuusikia... Siyo kila biashara inakufikisha kwenye uhuru wa kifedha. Baadhi ya biashara zinakupa kazi zaidi... Lakini hazikupi maisha bora zaidi. 👀 Ndio maana utakuta mtu anafanya biashara kwa miaka 10... Lakini bado: ❌ Hana muda ❌ Hana freedom ❌ Hana akiba kubwa ❌ Hana mfumo wa kipato unaokua Hizi ni baadhi ya biashara ambazo watu wengi huingia bila kufikiria kwa kina 👇 1. BIASHARA INAYOKUTEGEMEA WEWE MUDA WOTE Ukiumwa biashara inasimama. Ukisafiri biashara inasimama. Ukipumzika biashara inasimama. Hapo hujajenga biashara... Umejitengenezea ajira nyingine. 💔 2. BIASHARA YENYE FAIDA NDOGO SANA Unauza sana... Lakini mwisho wa mwezi unabaki kuhesabu mauzo badala ya faida. Unachoka sana... Lakini matokeo ni madogo. 3. BIASHARA ISIYOKUA Miaka 5 imepita... Mapato bado ni yale yale. Wateja ni wale wale. Maisha ni yale yale. Hiyo siyo growth... Ni mzunguko. 👀 4. BIASHARA INAYOHITAJI MTAJI MKUBWA KILA WAKATI Kila hatua unayotaka kupiga mbele... Lazima utoe fedha nyingi tena. Unajikuta muda wote unatafuta mtaji badala ya kujenga mfumo. 5. BIASHARA ISIYOKUFUNDISHA SKILL ZA THAMANI Biashara nzuri haikupi pesa tu. Inakupa: ✔ Uongozi ✔ Mawasiliano ✔ Ushawishi ✔ Kujiamini ✔ Kujenga mahusiano Skill hizi zinaweza kukulipa maisha yako yote. 📈 Na hapa ndipo watu wengi wanaanza kuelewa nguvu ya Network Marketing ya kisasa. 🚀 Kwasababu tofauti na biashara nyingi... Hapa unajifunza: ✔ Kuongea na watu ✔ Kujenga network ✔ Kujenga brand yako ✔ Kuuza ✔ Kuongoza timu Na skill hizo zina thamani kubwa kuliko mtaji wenyewe. Kitu kingine ambacho wengi hawajui ni hiki... Huhitaji kuacha kazi. Huhitaji kuwa tajiri. Huhitaji kuwa na office. Unaweza kutumia muda wako wa ziada baada ya kazi au masomo kujenga mfumo wa kipato kupitia simu yako. Dakika chache kila siku zinaweza kubadilisha mwelekeo wa maisha yako ndani ya miaka michache ijayo. Swali ni hili... Miaka 5 ijayo unataka kuwa yule anayesimulia hadithi za mafanikio ya wengine... Au yule ambaye watu wengine watakuwa wanamsimulia? 👀 DBS COACH pamoja na timu yetu tunafanya madarasa ya Network Marketing kila siku online na offline kwa watu wanaotaka kujifunza mfumo huu hatua kwa hatua. Hauhitaji uzoefu. Hauhitaji elimu ya juu. Unahitaji tu kuwa tayari kujifunza. 🔥 COMMENT "NIFUNZE" kisha chukua namba iliyopo BIO tuwasiliane WhatsApp na ujue ratiba ya darasa linalofuata. #NetworkMarketingAfrica #BiasharaMtandaoni #YoungMillionairesAfrica #DigitalEntrepreneur #FinancialFreedom
#24zilhajj_jashan_eid_mubahila_mubarak_hu #24ذوالحجه_يوم_المباهلة #growmyaccount #fypシ゚viral #deartiktokteamdontunderreviewmyvideo
anyone remember these? >:3 #pokimon #viral #fyp #foryoupage
such a cute, quick & easy style 🥹 #quickweave #hairinfluencer #fyp #hairstylist
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy