Neno limenipa ujasili wa kuinuka Tena nimelia usiku kucha kila Niki angalia sioni msaada watu wote wame niacha nimeshangaa Leo nimekutana na Neno hili limenipa faraja nainuka Tena Kwa jina la Yesu Mungu anifanyie njia pasipo njia 😭💪
2026-06-03 06:32:44
0
user2115302783362 :
kwani ulijua nimeshidwa kuendelea mbele nimekata tamaa nimechoka hata sjui nifanye nini asante kwa hii 😭😭😭
2026-06-03 01:24:06
1
Mwana :
nimepta nguvu sasa mungu akubrik iliye leta some ninapitia kipindi kigumu san 🙏🙏🙏 Mungu nisaidie
2026-06-04 16:37:56
0
Natasha :
Amen and Amen 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-04 04:37:34
0
Faraja elia :
amina🙏🙏
2026-06-01 05:11:07
0
Rehema :
balikiwa snaa
2026-05-31 19:24:09
0
SHARON. :
amen nina kuaminia sana mungu wangu🥰🥰🥰🥰
2026-06-01 18:29:46
0
It's Lee🌹 :
Ee Mwenyenzi Mungu nifungulie njia pasipo na njia
2026-06-01 19:28:01
0
mustahiki chérubin :
Barikiwa saana mpendwa 🥰
2026-06-01 07:47:49
0
✨️🦋zarablakee✨️🦋✨️ :
amen
2026-05-31 23:34:00
1
Elia Charles :
amina
2026-06-01 19:12:28
0
🇧🇮ÕG🇿🇦001🇰🇼SMITH :
Amina
2026-05-31 07:59:58
0
Omwamiii :
Amen thank you mungu akudie nguvu
2026-06-03 06:20:28
0
Kelvin Wilium :
thanks God
2026-06-04 02:16:52
0
shiro :
Amina mungu ndio tengemeo letu🙏🙏
2026-05-31 19:16:53
0
user5430608141753 :
amina jamani nasikia amani sana
2026-06-01 05:41:45
0
Neema Ngwada :
Hii sasa ni ya kwangu kabisa. Nahisi kuchoka sana,nahisi kushindwa kuendelea mbele Sina msaada wowote 😭😭😭
2026-06-01 07:42:50
0
Peter Sakaya :
very much true in Jesus name
2026-06-03 15:40:19
1
🤴KING KAKA🤴 :
AMEN
2026-05-31 21:11:57
1
callen callen :
amen
2026-06-01 06:56:11
1
editha799 :
amina nashukulu kwa neno la mungu linalo nitis nguvu katika yeye awezae yote
2026-06-02 03:54:52
0
To see more videos from user @tumwendee_yesu, please go to the Tikwm
homepage.