ndio mtu haingii janna ispokuwa kwa rehma za Allah lakini pia amal au matendo mema ni sababu ya kuingia janna .vipi mtu anaacha swala alafu anatarajia kuingia janna ....kuwa mfano
2026-05-31 10:59:09
8
Michael Daton :
Tumswalie mtume muhammd S A W
2026-06-03 16:00:15
4
swagaboy :
safi sana mkuu hongera sana kwa elimu safi na adimu sana kupatikana
2026-05-31 08:29:22
7
KIPENDACHO_ROHOO :
Allahu Yubārik Fiik (اللّهُيُبَارِكُفِيك)
Maana:
Allah akubariki 🤲🌹
2026-05-31 08:59:40
2
LUKAS@OG :
naomba dua yako ndugu yangu napitia magumu sana salumu please 🙏 ndugu yangu niko zanzibar kwsasa