@masaki_builders: Mpangilio wa ndani wa nyumba ni kati ya mambo muhimu sana ya kuzingatia kabla ya kununua ramani na kuanza ujenzi.Hii inahusisha Privacy ya vyumba vya kulala, Design ya sebule(ukubwa wa kutosha, lakini pia movements za watu zisisababiahe usumbufu kwa watu waliopo sebuleni)n.k #fyp #foryou #trending #viral #ramani #majengo #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ #foryoupage #vyumbaviwili #vyumbavitatu #fypシ゚viral #viralvideo #ujenzi