@sharifallyseif: Weka nia yako moyoni, sikiliza dua hii kwa yakini na umwombe Mwenyezi Mungu akujibu haja yako. Iwe wewe ni Mwislamu au Mkristo, rehema za Mungu ni kubwa kwa wote wanaomwendea kwa unyenyekevu. Amina. #foryoupage #viral #tiktoktrend #tiktokviral #tanzaniatiktok

SHARIF ALLY SEIF
SHARIF ALLY SEIF
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 31 May 2026 07:15:04 GMT
79967
8764
1491
728

Music

Download

Comments

blandina.paul8
Blandina Paul :
amina amina naomba unifungulie mambo yangu mwaka usiishe nifunge ndoa pia nipate kazi nzuri
2026-06-01 12:27:46
24
user7992588117132
user7992588117132 :
me nasinzia tu
2026-06-14 09:34:58
1
luyenamoh
luyena :
ameen
2026-06-04 10:02:43
1
user7940269127710
zawadi001 :
naomba mwenyezi mungu anisaidie nipate mimba
2026-06-15 14:13:35
10
use0777641972
Jey og. :
Amin
2026-06-02 19:17:29
2
mamymaher675
mamy maher :
amiin yarabbi
2026-06-03 08:42:05
2
user2154185600706
user2154185600706 :
aamin ila sijapata chochote
2026-06-06 06:52:06
6
djat4563
djat :
amina yalabi nijaze kheri mimi na watoto wangu uwafunguliye milango ya riski uwape na afya bora mfunguliye riski na mumewangu mpe na afya bora yarabi nipe umrimrefu niwalee watoto wangu kwarehma zako eehh mola wangu type tupe kila kilichobora mola wangu tutoshee duniani na kesho akhera....amini
2026-06-12 07:25:34
5
elia.kagere
ELIA KAGERE :
Amiin
2026-06-03 20:24:59
1
user1024508058054
chimuu 🌹🌹 albanrashid :
Ewe allah niondoshee mattzo yte niliyonayo kupitia dawa hii
2026-08-16 10:00:06
4
my.muna.saleh
My muna Saleh :
nilikuwa napiga miwai nakizumgu
2026-08-06 21:34:05
1
fettywasaga
fetty wasaga :
naomba mwenyezi mungu anisimamie nijifungue sarama
2026-06-22 20:37:42
1
allybmakao
A B M :
Ameen
2026-06-04 09:50:09
1
mwanaidisadik
Mwanaidi :
Mwenyezi mungu kutokana na dua hii naomba uniondelee maradhi niliokuwa nayo mwilin mwangu
2026-08-18 13:28:01
4
amini.mohd.khamis
Amini mohd Khamissi :
amii amii
2026-08-15 17:35:17
2
amranimabrucki
Amrani Mabrucki :
shehe uko mbali nakushukilu sana unapatikana wap Mimi Niko kigoma naomba unisaidie nimeona kitu
2026-07-16 20:08:29
1
user8179461005819
nasra sume jr :
yan mm kichwa kinauma sana na napiga miyayo hadi machoz
2026-07-30 11:18:49
2
mrs.hassan630
mrs hassan🧡 :
mkono wngu ulikuwa unauma ghafla nikaona umeacha lkn nina mitihan ya rizk xheha wngu uck silali mwili km napigwa nateseka mno
2026-08-11 18:51:50
0
mama.aymar1
mama aymar :
ameen
2026-06-03 04:56:53
1
user9688419499470
Mwjjj :
amiin
2026-06-01 09:14:29
1
user8103500521792
user8103500521792 :
Amin
2026-06-03 07:46:33
1
ruqayyaiddy
Allah mdulilah :
amini
2026-06-05 08:27:16
1
dukani02maima
vyombo and mashuka store :
amin
2026-06-01 19:22:03
1
shija071
isnah 🥰🥰 :
laillahaillaa
2026-06-07 19:59:19
1
zaitunihamisi926
Zaituni Hamisi :
Allahumaamiin
2026-06-01 11:08:13
1
To see more videos from user @sharifallyseif, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About