@fikrapedia: ​Kuwa crush wa mtu Introvert ni mtihani mwingine kabisa! Hawatakuja kwako kwa fujo, mbwembwe, au maneno mengi. Wao wanapenda kwa staili yao ya siri. 👀 ​Uzuri wao ni kwamba, kabla hata hujajua kama wanakupenda, watakuwa wameshajua vitu vyote unavyopendelea. Changamoto ni kwamba, kama usipokuwa makini, unaweza ukahisi hawakujali au hawana habari na wewe, kumbe kwa ndani "PRESHA" inawapanda kila ukipita karibu yao 😂 ​Kama unahisi kuna introvert anakupenda, mpe mazingira tulivu, usimpe presha ya makundi, na utaona jinsi alivyo mtu mzuri. ❤️🔋 ​Ni tabia gani kati ya hizi umei-notice kwa Introvert anayekupenda, au kwako wewe introvert ukiwa karibu na crush wako? 👇✨ #fypシ #introvert ​#IntrovertCrush #SaikolojiaYaMapenzi #mahusiano

FIKRAPEDIA 💭
FIKRAPEDIA 💭
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 31 May 2026 08:08:05 GMT
20846
574
64
23

Music

Download

Comments

dorisshangwe5
shangwedoris :
ni kama najisoma tu mwenyewe. umesahau wakiumizwa ni ngumu sana kua na mahusiano wanakua wanafatilia kila dosari hawako tayar kuumia bali wao ndio wataacha mtu wakiona no future
2026-06-03 10:00:32
5
nabiimkee
prophetess :
nimejikut najicheka tu 😂😅
2026-05-31 15:05:04
6
davidmkenda
David Mkenda :
every thng iz truly aisee😂😂
2026-06-03 21:02:31
1
shusatechology
portafy :
m nawaza ela
2026-06-01 18:36:26
1
user421554314986
dazzle :
is me
2026-06-02 17:01:48
1
irenebaltazary500
Renny🔮✨ :
fact 😂
2026-06-04 09:00:33
1
don.charlz3
Don charlz :
na hata akigundua Kuna kitu kinamuumiza kuhusu wewe ataachilia furaha na kubaki na maumivu moyoni tu
2026-06-16 16:18:51
1
marybaldwin2580
Maryah❤ :
No 6 hits hard on me
2026-06-03 14:12:34
1
_gavi.36
𝐆𝐚𝐯𝐢66 :
am the one
2026-06-12 14:44:08
1
ramadhan.twaliki
Ramadhan Twaliki :
Ohh mimi ni introvert maana nimeform zote
2026-06-05 23:49:01
1
gracemgonja8
Acewill :
True
2026-06-03 08:33:11
1
shekomedia
Sheko Media :
Bila ubishi😂
2026-06-10 11:06:09
1
pr.angel1
pr angel :
I love the sound 🥰
2026-05-31 14:00:38
1
godfreth
LIAMSO🇹🇿 :
ndiye mm umenigusa mno
2026-06-16 07:49:53
1
sham89503
MOMO💕 :
me no 2
2026-06-01 20:14:09
1
madishangi
Yohana :
mimi kabisa huyo
2026-05-31 12:17:17
1
user1675511217799
Ivan :
mbon n mm
2026-06-30 06:53:38
0
nelsonkavuta
Nelson Kavuta :
Mmeanza kutoa Siri sio!? 🤔
2026-06-04 23:26:55
1
happykimaro57
happykimaro867 :
nimejiona leo
2026-08-02 04:23:57
0
irenebaltazary500
Renny🔮✨ :
hii ya mwisho jmn 😅😅
2026-07-13 07:17:42
1
avitha.pais
its Ivy💓 :
kila kitu kinanihusu
2026-07-22 09:08:25
1
petiibrenda
Petiibrenda :
daaah😅😂🤣
2026-07-23 14:47:18
0
fikrapedia
FIKRAPEDIA 💭 :
Wanasema sawa, halafu usiku playlist ya huzuni inaanza 😂
2026-07-19 16:26:02
0
memorable_style
memorable style :
umesahau kuweka Wana EGO ya juu sana
2026-07-15 07:29:52
1
user6630370759331
Ronald Jr :
umenitoa wap kijanaa
2026-06-12 18:33:20
0
To see more videos from user @fikrapedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About