kaka mtaji wa 3000000 naweza kufanya biashala gani
2026-08-15 10:33:06
0
Mom Gianna😍 :
Nashukuru sana hii itanisaidia
2026-05-31 16:01:46
5
winnie baby :
hii biashara ukiwa na milioni tatu.ndo umamaliza kila kitu.pamoja na kodi ya frem
2026-08-20 17:04:32
0
kongo :
ahsante
2026-07-09 11:37:36
0
Baba wawili :
brother naomba msaada bajeti ya dry cleaners kama hutojarie please
2026-05-31 14:23:50
2
mamuurasheed4 :
leseni 80
mzani used 125 ulogongwa na wakala wa vipimo
frezer 460 ndogo ya lita 125
frem za kuwekea vitu za mbao uwii biashara ya duka la mangi ni moto mwingine my dear
2026-06-12 11:29:38
0
Baba Arianna and Faridah :
nipeni maana ya mangi?
2026-06-02 13:53:38
0
Pezas Ally :
Kodi broo
2026-06-02 12:42:40
0
MAGIC :
mkuu duka la jumla vinywaj maji makubwa na nadogo.. soda za kopo..mo extra na energy pamoja na apple crush au punch mtaj
2026-06-22 10:53:58
0
JOYCE LYIMO (nara) :
hasante sana kwa kuniandikia ,ubarikiwe
2026-06-01 08:27:10
2
Lizzy P❤️ :
Hela kodi iko wapi mwenetu 🙌🙌
2026-06-01 14:20:40
1
shurhaty quty :
service level umesahau mkuu
2026-07-09 14:34:54
0
Lucky :
nimeipenda
2026-05-31 16:05:01
0
jesca_leeh :
Liquor store ya mtaji wa milion 8 au 10 Naomba nisaidie 🙏🏿
2026-06-01 06:57:13
0
vivy :
imekaa poa sana
2026-05-31 16:24:41
0
reymo :
saw kak /dad mshauri ila pesa ya pango ujapiga budget na usafir
2026-08-22 15:44:25
0
Geza Lodge :
Love it
2026-06-01 09:00:52
0
Fanuel Stone :
Good idea
2026-06-01 12:20:31
0
ernesbenson0 :
mmmh kweli dar rahisi mweeeh!
2026-06-01 14:39:52
0
Mr Jozaya :
m nmependa nyimbo tu
2026-06-01 08:26:18
1
To see more videos from user @gastmedia, please go to the Tikwm
homepage.