Unatusemea vizuri hasa sisi wamasai ufugaji ndiyo benki yetu unatokea mkoa gani Dada yetu☺️
2026-06-01 17:17:57
2
user9882807939973 :
Tafadhali,tafadhali nitafute unaona kunakitu cha maana.
2026-06-14 07:51:06
0
benard :
hufanani na hiyo fani
2026-06-04 04:05:09
0
Sean M :
problem is, most of us farmers don't take this as a real investment and so very little efforts are put to ensure good returns/margins. Endelea kuchanua wakulima dada
2026-06-08 17:55:50
0
binhaji :
go to straight on point
2026-05-31 16:43:37
0
ivor254 :
wewe hamia Kenya... uko Brain yetu kabisaaaa
2026-06-01 12:41:34
2
Bantu Manyema :
We dada unamawzo mazuri.Ila usilinganishe ulaya na kwetu.sisi hatufugi kibepari, kufuga ni utamaduni hivyo familia nyingi zinafuga mifugo michache.
2026-06-03 09:54:45
0
Dr aporinary ponsiani magongo :
wafugaji wote chukueni ushauri lakini pia mje pia na kwetu Kuchukua madini ya kitaalamu kuhusu magonjwa na tiba
UFUGAJI UNALIPA SASA FUGA KISASA KUZA UCHUMI
2026-06-10 19:26:03
0
mushila :
Mi Naomba nifuge na wewe
2026-05-31 11:19:33
0
magobe masha mamaya :
👍 ok
2026-06-01 18:04:25
0
abugunda :
shukran
2026-06-05 04:24:53
0
BB NOSM mollel :
benk yetu sisi ambao hatukusoma
2026-05-31 17:35:42
0
king katanga :
Ushauli mzur sana dada
2026-05-31 19:32:46
0
MUNJI@lupima :
dada wewe vp
2026-06-01 11:35:21
0
Ibrahim molam :
hongera kwa ushauri mzuri ww ni mfugaji wa wapi
2026-05-31 11:18:54
0
Bantu Manyema :
Kwa kaya unazozisema zianze kufuga mifugo kama wazungu huoni kuwa ni tatizo. Hio ardhi ya kutosha familia za watanzania wafugaj itatoka wapi?.
2026-06-03 09:57:27
0
Bantu Manyema :
Kwa hio naona kama upo westernized sanaUkiwapeleka wamasai na wasukuma huko utatengeneza tatizo ambalo hutoweza kulitatua.
2026-06-03 09:59:35
0
user9882807939973 :
Napataje number zako? nataka nijue naona ya mifuko kubeba mimba kwa wakati mmoja hata ngombe 1000 wazae kwa Makati mmoja.
2026-06-14 07:56:07
0
MaasaiTraveller :
Dada mimi nina rafiki Canada ana ng’ombe laki moja
2026-05-31 20:22:58
1
Julius Juma :
sasa toka nianze kukufatilia leo ndio nimekuelewa. umeongea point dada
2026-06-01 17:04:39
0
ivavhubert :
unafuga nn dada angu
2026-05-31 21:06:51
0
Marijan Mohammed :
unafugia wapi
2026-05-31 20:31:15
0
James kipuh :
hivi dada uko wapii
2026-05-31 18:02:35
0
N. Y. 6 :
zaidi ya benk
2026-05-31 16:38:09
0
To see more videos from user @zeb_tr, please go to the Tikwm
homepage.