@msumbanews: Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka akiimba na Kwanya ya Kurasini wakati wa kuhitimisha Mkutano wa Njombe Net Event jana Mei 30, 2026 uliofanyika mkoani humo kwa siku 21 mfululizo katika Kanisa la Waadventista Wasabato mtaa wa Chaugingi.

Msumba News Blog
Msumba News Blog
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 31 May 2026 10:34:51 GMT
123544
6600
202
395

Music

Download

Comments

traore.photoshoot
📸 :
kwani ni msabato
2026-05-31 18:37:39
22
dadatwigga
Dada twigga🥰 :
mbona kila nyimbo anaijua ni msabato au but congratulations RC mtaka jah bless u
2026-05-31 18:44:07
20
joyzeph0
Joyzeph :
Nataman kuwepo
2026-05-31 19:18:29
5
kadoshi46
Kadoshi :
RC. Mtaka ni kiongozi wa kuigwa. Kwanza ana utu, anajiheshimu, mnyenyekevu, ni mtu kunyooka hataki kupinda Linda, ana hofu ya Mungu, na mtu mwenye huruma. Kiufupi, viongozi wote waliotoka katika Industrial ya Polisi huwa ni viongozi wazuri sana. RC. Mtaka alikuwa afisa wa Polisi, akaacha kazi ya Polisi akaingia katika Siasa. Hata alipokuwa Polisi alikuwa mtu mwema sana wa kupenda kuelekeza pale inapobidi. Hongera sana Mh. RC. Mtaka.
2026-05-31 20:12:23
34
user3308871661113
Emma Tz :
Hakika tutamisi sana vipindi vizuri tulivyo kua tukivifatilia kutoka njombe; Net Event Njombe Tumaini Lenye Baraka Hakika ni hisitori kwa wadventista
2026-05-31 21:57:21
11
mabati_imara1afr
Mabati Super (wanhao) :
Hakika tumebarikiwa mno na NJOMBE NET EVENT 2026 Sasa tunaingoja MWANZA NET EVENT 2027
2026-06-01 11:07:28
5
rachel.mbwambo0
Rachel Mbwambo :
RC msabato barikiwa sana
2026-06-01 05:56:20
6
user6861659670678
Sharon lomon :
good job
2026-06-01 13:40:12
2
costancia.mmbando
Costancia Mmbando :
Mungu akupe hekima zaidi wewe ni kiongozi bora sana🙏🙏🙏
2026-05-31 17:38:37
10
user6978108528814
Mwesiga Ruttakyamirwa :
kiongozi wangu bora wa muda wote
2026-05-31 19:29:58
9
samsonhumbe615
Samson Humbe :
Antoni mtaka, mkuu wa mkoa pekee kwasasa ninayemuelewa zaidi. Mungu akufikishe mbali sana
2026-05-31 19:45:08
8
user7371009862559
smile_girl💋 :
Njombe tumebarikiwa kiongozi Bora sana Asante Mungu
2026-06-01 17:01:07
7
user6531171319517
user6531171319517 :
True defination of a good leader Mungu akuinue zaidi RC mtaka
2026-05-31 17:41:15
6
kux.de.max4
Kux de max :
Hongera sana Mtaka kumbe ww ni familia kbs
2026-06-01 08:35:21
7
philipopaul19
Official cpt..@🇹🇿 :
Amen
2026-06-01 18:52:25
1
shangaz1233
135729468 :
Mtaka ni bonge la kiongoz,Mungu ambariki sana
2026-06-01 07:27:15
6
itimasjoseph
wachikowet og :
Barikiwa Sana Mungu awe pamoja Nas sote tunaowaangalia lakin pia na wale wote wahitaji
2026-06-01 07:27:06
5
brains.81
brains81# :
nime barikiwa sana .@👏 njombe net event
2026-06-01 08:07:54
5
user9762167052358
deborah :
Amen amen 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
2026-06-01 18:10:16
2
monicachacha136
Monica Chacha :
hongerasana
2026-06-01 10:08:14
2
sb.princess8
sb princess :
Ameeen
2026-06-01 08:57:56
2
teddy.sasuma2
Teddy Sasuma :
barikiwa
2026-06-01 07:52:09
2
realstranger01
Real Stranger01 :
Congratulations 💪🙏
2026-06-01 04:30:38
2
user9958413492848
marry :
Hakika Mungu atukuzwe milele zote
2026-06-01 06:12:16
4
mama_wawili1
Peresia :
mtaka mungu akubariki una mengi baba yangu🙏🙏🙏
2026-06-01 08:27:50
3
To see more videos from user @msumbanews, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About