@ahluzamaan_tanzania: AHLU ZAMAAN LIVE TANGA PANGAN STAHABU ALHAMDULILLAH LIMEPITA KWA SALAMA NYUMBANI KWAO OSTADH RAJABU. AKIZUNGUMZA SHEKH WALIDI ALHADI OMARI KAWAMBWA SHEKH WA MKOA WA DAR ES SALAAM TUKUTANE MAKUMBUSHO YA TAIFA KATIKA UZINDUZI WA EVENT YETU MPYA YA SIKU YA MAFUKARA NA MASIKI 20/6/2026 Katika ukumbu wa MAKUMBUSHO YA TAIFA DAR ES SALAAM . Ahlu Zamaan. UPENDO MIDHAMU NA MSHIKAMANO.
kaka walid tangu upate mtihan nimejikuta kila mda naenda uwan yan presha imen shika kuna mda nalia tuu
2026-07-17 14:20:17
16
Segera Mbaruku :
MASHAALLAH DUA🤝🥰🥰🥰💪🏻💪🏻💪🏻
2026-07-17 11:45:20
4
Asha Hawa :
Ile Sheikh n handsome jamaniii,Allah nisamehe hii dhambi ya kutamani visivyo vya kwakgu
2026-07-17 18:41:43
1
call_me_chudah💋 :
penda sana sheikh wet
2026-07-19 16:04:27
2
nasibu ng'wamtunguu :
Nahapa huenda ndio pamefanya sheikh wangu atenguliwe usheikh wake
2026-07-17 06:51:53
1
user35746614990373 :
mim naamin shekhe unaenda kuushika umufti mkuu wa tanzania bakwata naamin hivo shekhe kuwa na amn
2026-07-18 08:42:49
1
uncover :
Wengi wanaweza kuona kuondolewa kwa Sheikh Walid kwenye cheo ni shari. Lakini ukiangalia kwa jicho la karibu na kwa imani, unaweza kuona ndani yake kuna kheri.
Allah Akimpenda mja Wake, humuinua kwa namna Anayoijua Yeye. Watu humtambua kwa tabia na sifa zake njema, si kwa cheo pekee.
Kwa mtazamo wangu, hili linaweza kuwa kheri, kwa sababu kila analolikadiria Allah kwa mja Wake lina hekima na linaweza kuwa sababu ya kuinuliwa zaidi. Leo tunaona Sheikh Walid akizidi kujulikana na kupendwa kwa sababu ya sifa zake njema na mwenendo wake mzuri.
Mwenyezi Mungu atujaalie tuone hekima katika makadirio Yake na atutie thabiti katika haki. Aamiin.
2026-07-16 22:50:48
4
Abuu Kauthari :
Maashaallah Masheikh wetu msisahau kutufuatilia katika lugha ya kiarabu
2026-06-01 17:43:46
1
ukhtyAisha😘🔥 :
jamani Masha Allah
2026-07-17 12:16:54
1
Emmylove :
mashallah mashallah 🥰
2026-05-31 21:35:28
1
Mbwana Akida :
mashallwah
2026-06-01 05:15:52
1
umar :
Masha Allah
2026-05-31 14:52:28
1
Husna Suleiman :
mashaallah
2026-06-19 15:45:55
1
الحمدالله 🤎🩶💖 :
Alhamdulillah mashallah
2026-05-31 21:02:33
1
Zummy 🥰 :
Mash Allah 🥰
2026-05-31 14:13:15
0
transport nssossolo :
mashallah 🤲🤲💯
2026-06-01 13:52:59
2
Omar_maba :
Mashaallah
2026-05-31 16:35:38
1
jamila hamiss :
tattoo ingekuwa si kharamu ningemchora shekhe waridi 🥰🥰
2026-07-19 06:19:11
0
PC Risa :
Mashaallah🤲
2026-07-18 17:01:34
0
user5317801797005 :
Allah Akbar Allah Akbar Allah akulinde sana sheikh wangu
2026-07-20 20:55:37
0
user9223754085708 :
penda sana shekh langu pendwa
2026-07-20 07:56:31
0
sharipha🫠 :
mumemrufisha ama mana twamtaka
2026-07-22 05:36:13
0
Zai wa mau :
Maashaallah
2026-07-19 01:49:43
0
ummu :
sheikh Walid mungu ampe maisha marefu katika hi dunia mtu mwenye hekima 🥰
2026-07-17 12:55:48
0
To see more videos from user @ahluzamaan_tanzania, please go to the Tikwm
homepage.