@shassycollectionsarusha: Mungu awaweke mbali na wivu wangu😩😂REET BEAUTY PRODUCT,inapatikana@tumaini_cosmetics ❤️

Babe_gal
Babe_gal
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 31 May 2026 14:45:48 GMT
321659
24432
1200
665

Music

Download

Comments

lilylouis32
lily Louis 😍☺️ :
mimi ata nikiangalia mapishi tiktok naongezeka uzito 🥺🥺
2026-05-31 16:40:43
1311
motiva469
Dyna🫧💕 :
Hapo kwenye kunenepa , am jealous of Teresa 😣😂🙌🏼 that gal
2026-05-31 15:21:14
827
rosemedico
Rose Medico :
Ay period siku tatu na hakun maumiv yoyt mikono juu ✋🏽
2026-06-01 05:11:01
727
andrewkini
DreChitto :
Hapo kwenye kumix sentensi kwenye sala😂😂😂
2026-05-31 15:26:26
231
prettyness534
high👑534 :
Kuna hawa huwa wanaongea taratibu hata wakishout sauti sio kali jamn yoo🥺🥺
2026-05-31 19:45:29
180
frola_0108
Frola :
Ao wanaojaa nywele kichwan bila sababu za msing m wananiudh🥺
2026-05-31 17:26:46
210
whos_mimi46
𝔚𝔖𝔒𝔖_𝔐𝔐ℑ🖤 :
Sasa mbn tulio hivyo tunataka kunenepa na tunashindwa😔😔
2026-05-31 15:23:25
98
pendohaidary6
Pendohaidary :
Oya we mdada ni mzuri❤️❤️❤️
2026-05-31 17:58:04
51
patriciaponsiano
paty :
me hata wale wanao shika maneno ya biblia hata wakisoma kidogo me nasoma sana ila sikalili kabisa😅
2026-06-01 13:51:37
32
hinduadinani510
🦋✨ beauty eyes🦋✨ :
😂 nywele kama hizi
2026-06-01 06:35:54
47
riferojaphet_tz
Claudia :
inakuaje unangozi nzuri ivo bila kipele how? like how? i m jealous with you aise
2026-06-01 07:47:40
35
aliasudi
Official yahna :
we ni mzuri sana🥰
2026-06-01 06:37:47
49
abbye.222
abbye 💋@koku for funny 😂 :
apoooo kwenye likitambii🥺🥺🥺🥺😆😆😆😆😊
2026-05-31 18:44:46
56
borntowinn10
Finelady😲 :
Mimi ninahivyo vyote lkn meno Sasa Huwa sichek ovyoovyo
2026-06-14 03:42:38
5
doyy_official0
Doyy :
🥺🥺 hivyo vyote mimi pia
2026-05-31 22:00:23
7
agashgal
agashgal💦💝 :
Na kuna mim had shida zinaninenepesha😥
2026-06-01 20:31:39
5
magrethsteven612
maggie :
am jealous of you ur so byutiful☺️
2026-05-31 15:35:12
20
obbychancy6
obbychancy :
mimi natamani kunenepa jmn 🥺🥺
2026-05-31 21:00:58
10
mamafruitylove6
mamafruitylove6 :
unazidi kuwa mweupee sanaa ile rangi yako ilikuwa nzuri sanaa
2026-05-31 15:24:34
26
lucyqueen562
Jojo sasha 🫂🫶🫰👩‍❤️‍👩 :
ni Mimi nywele zangu hazikatik zimejaa namshukuru mungu 🙏 had naulizwa unatoa nini
2026-05-31 20:47:30
15
aycah_588
Carly :
hapo kwa period ya 2-3 days☺️😅 nashukuru Mungu na pia siumwagii hata
2026-05-31 18:42:24
21
To see more videos from user @shassycollectionsarusha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About