samuya hii nyimbo anatakiwa kuisikia hata nje ya geti la ikulu
2026-06-03 09:03:05
91
BailableTz :
Aiseeee vijana tuokokeee huwa navaa mlegezoo nimeacha nilivoisikiaaa hii nyimboo
2026-06-02 18:48:00
34
Jojo Pajamas🌸 :
jamani huyo dada hata kama ni kulead alitakiwa aache kdg tusikie back vocals wanaimba nn hatusikii anasikika yeye tu jamanii wimbo mzuri na sisi tunataka tukalili tuimbe😩😩
2026-06-05 06:14:35
19
Ismailnaomi :
hii nyimbo ninzuri sana sana ila back vocals hawa sikiki vizuri
sema mkaka kasikika vizuri na ndio kafanya wimbo tuuelewe zaidi🙌❤️
2026-07-03 08:51:26
10
Jen Juma :
huu wimbo umenifanya nataka kuludi kwa mungu kuomba toba
2026-06-04 08:13:33
23
pheeny ❤️ :
mungu na watu wake☺️😊
2026-07-09 03:12:05
1
Son of God :
Ameen🙏
2026-07-14 10:24:19
1
paresoleyla001 :
Leo Ndio nimeelewa hii nyimbo
2026-07-11 06:42:36
1
Walawi Gospel & Outreach 2012 :
lo nabarikiwa sana saxophone 🎷 tu loh ingekuwepo huko mwisho