@balyanga255:

PETER BALYANGA
PETER BALYANGA
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 31 May 2026 19:15:34 GMT
70817
2741
262
299

Music

Download

Comments

favoured_leo
favoured_leo :
Hapa wanaimba kutoka moyoni
2026-06-06 11:31:07
41
rabitah.mluchi
Rabitah Mluchi :
Mungu ana watu wengi sana daaah😳😳😳
2026-06-06 23:42:41
2
josephchongolo65g
[email protected] :
kumsifu mungu popote bhana ongeren san vijana
2026-06-06 20:52:17
5
ganee360
ganee :
Mpk Mungu amefurah🥰🥰
2026-06-05 12:29:06
22
irene.jimmy0
Renee🖤 :
dah Mungu anawatu wengi nawapenda Bure 🥰
2026-06-06 19:49:12
3
bulgarisjohnshao
bulgarisjohnshao :
Napenda sana gospel bar. Nimecheka😁
2026-06-06 20:59:06
1
joanah.clemence
joanah clemence :
kila mwenye pumzi na amsifu bwana mbarikiweeeeee
2026-06-06 08:58:49
8
user6941808749496
kidawa 🍁 :
mambo niyapendayo😃
2026-06-04 17:21:03
9
miss_d259
@Daynesy Outfits :
bado mpoo jmn
2026-06-06 20:11:04
2
elina.mao
Elina mao :
Oyaaaa weeee mamb yangu hayoo mamamaaaaaaa weeeeeeee
2026-06-06 19:38:50
1
user31873836139
vee samwel :
oya weeeeee yesu mwenyewe atakua amefurahi💕 I love it
2026-06-03 05:51:59
9
chrs7462
Chrs :
mungu bado anawapenda
2026-06-06 19:56:23
0
ilovearusha
star boy :
@:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kUwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu nana kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-06-01 08:05:56
5
nema.john37
Nèema John :
hahahah
2026-06-02 10:45:57
1
djrobbie117
djrobbie117 :
hii ungepost tiktok ingeenda viral
2026-06-06 16:08:30
2
essy_star_
Essy_star ✨️ :
2026-06-03 16:31:11
1
emmymahimbo1
Da emmy :
nakujaa sahivi
2026-06-06 12:21:25
2
pharm_jayson
D.Pharm_Jayson :
watoto wa mungu
2026-06-02 09:17:03
2
partner.nafaka
PARTNER NAFAKA :
Adiii rahaaaa mko wapi nije kuimbaaa tuu
2026-06-06 13:02:42
2
To see more videos from user @balyanga255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About