@adam_kumbagu: Nililia na kulia.🙂💔 Hakukuwa na mtu wa kunifuta machozi na ndipo nikagundua "nina mikono 2 mwenyewe." Nilitaka niweke bega la kulilia ndipo nikagundua, “Nina mahali pa kuweka kichwa changu chini”🥀 Nilidhani, nilipoteza kila kitu. Lakini katika sujjod nilimkuta ALLAH na ALLAH ndio kila kitu.❤️
ARK_84✊️
Region: TZ
Sunday 31 May 2026 21:26:49 GMT
Music
Download
Comments
Aziza Ramadhani :
nmm najikuta nalia tu 🥺
2026-07-09 04:37:14
1
Asnati momo :
Sijui atamimi ninani wallah 😭😭😭😭😭😭🙆♂️😩😭😭😭
2026-06-30 21:23:17
1
Aminaa :
Tunapitia mengi sana kutukatisha tamaa na kutuumiza ila ukigundua kuna Allah, ibada na subra hivo vitu ukivikumbuka unajikuta unakuwa mpya
2026-07-05 17:00:27
1
💕ukhty💫amina♻️ :
alhamdulilah
2026-06-25 07:43:07
1
Shyma Bwanga :
mungu atusaidie
2026-06-11 18:13:54
1
shellyNuNu🦋 :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭haya bana
2026-07-05 07:12:05
1
🩵💙🦋 :
Hakika mola wetu ndio kila kitu🤲
2026-06-16 14:43:15
1
mubarak :
Allahu Akibari
2026-06-19 14:05:12
1
Win msagaty🦋 :
Allah akusaidie
2026-06-19 19:18:16
1
Shani Sharmilah :
ya Allah😭😭😭😭😭😭😭😭
nimechok Mjaa wako
2026-06-25 17:31:14
1
Arabu❤️🦋 :
🥺🥺
2026-06-16 21:19:34
1
🦋Ameira🥰 :
🥺🥺
2026-06-16 23:06:24
1
ARK_84✊️ :
🥺🥺🥺
2026-05-31 21:48:51
1
Zena Yusuf :
🥹🥹🥹🥹🤧
2026-06-17 07:59:28
1
Princess mimah🥰 :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-23 06:52:30
1
Sophia Seiph :
🤲🤲🤲🤲😭😭😭😭
2026-07-01 16:29:59
1
Esha Mohamed :
😭😭😭
2026-06-11 15:05:07
0
Tamima :
😭😭😭😭😭🙏
2026-07-08 11:29:31
0
أديزي🎆 :
🥰🥰🥰
2026-07-06 17:50:53
1
To see more videos from user @adam_kumbagu, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.