wamemchagulia happy anawajua kina happy kweli huyu.
2026-06-01 13:59:55
212
SH.. hairdresser :
jina lenyew ni Side ogopa hayo majina ...munataka kumpa presha wifi yeny😁😁😁😁
2026-06-01 16:11:06
59
KAMU JR :
ANAKOMWEEE
2026-06-02 05:11:28
23
user6160249526980 :
Ma wifi Mitano Tena
2026-06-01 18:09:29
28
Rashmamy :
Mungu kama mm ni alizeti bc nirudishe singida🥺
2026-06-03 12:13:46
6
kasymtakidum :
kaka Ndoa nijambo kubwa sana sio Jambo la mzaha. Maamzi mazuri Uoe kwa kuona mtu utakayemuvumilia na kumtuza, bila kusahau kumtunza. usije kwa kelele za watu ni majuto baadae. lakn Mungu akujaalie huyo wanae kupatia ajitambue na kuheshimu.
gongeni like zenu hapa Kama mkielewa ninacho Kisema