@gudgudtz:

Gudgudtz
Gudgudtz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 31 May 2026 21:43:29 GMT
500918
34171
630
7619

Music

Download

Comments

user3797427788238
user3797427788238 :
wambie
2026-07-28 11:33:03
0
halima.chagile
Halima Chagile :
shekh mimi sina cha kusema nasubili hukumu ya mwenyezi mungu inshaallah
2026-06-01 16:59:38
207
user108532194741
shelyD :
jamani mbna waislam mnapenda kuongea ukweli Hadi nasikia kulia na yenye tunapitia
2026-06-02 14:12:29
71
user3615742803779
$h@msi@ :
Allah atupe amani ktk ndoa zetu 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-01 12:19:59
69
zay.fashion
Zay Fashion :
Mie vipigo nilivyopitia kwenye ndoa nna mwaka wa tatu huu natibiwa muhimbili lakini insha llah☝️😭😭😭🤲🏻🤲🏻
2026-06-03 19:23:41
39
100minahsall
mimahsall :
allha ametuumba kwaajili ya mitihani, hatuna amani kila siku majuto ya maamuzi yetu. allha atupe kheri ila maisha ya ndoa hayana fea. ni maumivu na mishituko ya moyo. ohh alhamdullah.
2026-06-02 12:19:08
17
zenaisacky
zena Isacky :
nimelia sana kwa mateso ninayopitia hakika wakat wa mungu upo mungu ata hukumu hakuna kisicho na mwisho🙏🙏
2026-06-02 09:20:20
26
esmarijulia
mbuche :
inshallah naomba mume bora atanipenda kwa moyo wake wote
2026-06-03 11:51:25
12
bellan_07
bellan_07 :
mm nimelia sana kwa mateso ninayopitia hakika wakat wa mungu upo mungu ata hukumu hakuna kisicho na mwisho
2026-06-01 13:51:07
19
ladybug9386
ladybug 🐝🐞 :
Mungu atatulipia inshalllah na yote magumu unayopitia sasa kwasabab ya ndoa tulizo zipnda
2026-06-14 20:02:35
6
muliro639
Muliro :
sheikh ni ukweli kabisa wanawake tuko shida sana kwa mayumba zetu mwenyezi mungu atupe nguvu inshallah
2026-06-01 17:31:57
11
catecatelavi
lavi cate lavi :
mmi yote nimeachia mungu atamlipa machozi yote nimelia usiku na mchana 😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-03 09:42:11
11
fahadsmoms
Mrs manjole :
mimi apa nafnya kila kitu kwa wakati sahihi kabisaaa kila jambo lina mwishooo inshallah
2026-06-13 21:04:49
7
nazreen.majeed
Nazreen Majeed :
mi nimemuachia mungu atanilipia
2026-06-01 20:49:41
11
munira.kassa1
Munine :
sijui ata nimelia nini Mungu akupe umri mrefu shekhe🙏🙏🙏🙏
2026-06-02 18:37:46
8
mwaka.athman
Mwaka Athman :
🥰🥰🥰 Allah ndie Hakim wa yote shukran ustadh
2026-06-02 09:28:32
8
munaa.ahamed
Munaa Ahamed :
niliyapitia but Alhamdulillah nilikuwa naongea subra ss ametulia Alhamdulillah
2026-06-01 12:24:14
9
naahdest
mere de moi❤ :
niliumia na sasa na subir wakati wa mungu mi sahihi
2026-06-01 16:55:14
7
halimakambi992
Ramuziy kalu :
mimi nimelia hadi bas mola ndio hakimu 😭😭😭😭😭
2026-06-01 13:18:36
9
sumeiyaomar681
Sumeiya Omar :
kweli mungu akuweke shekhee 🥺🥺🥺😫
2026-06-01 15:42:18
7
biashajuma1990
biasha juma1990 :
kweli kabisa umeugusa moyo wangu
2026-06-01 10:25:17
5
neemashaban817
neey :
niombee namie mwenyezi anisaidie napitia wakati mungu san
2026-07-21 19:56:53
1
user5430654759670
Mrs ♥️♥️🌹jy :
mungu amuongoze mume wangu katika njia ilio sahiii inshallah 🤲🤲
2026-07-06 20:21:24
4
salimanyongesa
mama boys :
Allah mungu tupe nguvu ya kulea watoto wetu
2026-06-20 17:36:50
3
To see more videos from user @gudgudtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About