dunia tu hiii kaka unajitapa kwa sababu ya makamary pole sana
2026-06-01 10:29:43
57
Elldan :
Dah hongera brother kila hatua dua
2026-06-01 06:32:37
180
F r a n c e M :
MIKEKA HII HII AU
2026-06-01 08:01:25
23
Omy Hermit :
izi ndio zike odds 93 ausio😁
2026-06-01 06:57:21
59
Dantarian_26 :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.
2026-06-01 07:54:21
8
20k HOT MOVIES🍿 :
kwa sisi tulio pitia maisha magumu even if bado tunajitafuta tukiona mafanikio ya wenzetu lazima sherehe iwe nyumbani congratulations kaka japo bado na sisi tunajitafuta but amini usiamini Mungu ni mwaminifu juu yetu
🥺🥺
2026-06-01 15:21:36
40
Hafiz🇨🇩 :
kila hatua Dua bro panapo Niya Pana njiya
2026-06-01 06:24:46
56
💲💎$TËV£💎💲 :
hatua kubwa sanaa hongera Broo 🫡🫡🫡
2026-06-01 07:01:45
31
Y manula :
daah Mungu ukinipa nipe ya ivi ivi yenye mataa taa 🙏🙏
2026-06-01 09:47:57
14
Pov_usernotfound™☑ :
This Is Looking Good My Brother Congratulations👏🎉
2026-06-01 10:07:45
14
David :
congratulations brother ni hatua kubwa sana ,ila mm nina changamoto kila napotaka kuingia kwenye mikeka yako ninashindwa tafadhali naomba unisaidie
2026-06-01 09:40:11
9
A.drw :
This is how we do it😂😂😂
2026-06-01 07:31:49
9
JOÃO TZ 👑 :
2026-06-01 06:29:07
8
PlayStation Empire Arusha :
2026-06-01 06:51:59
7
Cyrus :
motivation 👊
2026-06-01 06:41:55
6
Eyes :
this is looking good brother 😂😂
2026-07-02 09:30:03
3
❤ROSAMOS❤ :
congratulations my brother, visca berca for life
2026-07-01 10:02:46
5
mwinu_jack :
Hongera sana Kaka,umepambana Mungu akuzidishie...
2026-07-05 16:25:29
2
shoni :
pambana bado sana kaka
2026-06-01 10:49:19
1
MDJ :
please msiwe mnatuonesha wengine tunapresha na umri ndo huo haugandi
2026-07-04 12:16:42
2
mr.Quid Rite :
mim pia unani inspire sana ili nipambane nakuombea mema sana na mafanikio makubwa big up sanaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-07-05 11:01:01
1
JUNAJ☠️ :
Noma sana kaka
2026-06-02 09:25:54
1
To see more videos from user @creez_favors_, please go to the Tikwm
homepage.