@viny_wise: Watu wengi hudhani healing ni kusahau. Lakini mara nyingi healing ya kweli ni kukumbuka bila kuumia tena. Ni kufika sehemu ambayo: Huhitaji kulipiza Huhitaji kujieleza tena Huhitaji kuthibitisha thamani yako Unaondoka kimya. Sio kwa sababu hujali bali umechagua amani kuliko vita. Kuna ushindi ambao hauhitaji maneno. Ni ule wa kuendelea mbele bila kubeba uchungu. Kumbuka: Kukaa bila chuki si kusahau yaliyotokea… ni kuamua yasikuchukulie maisha yako yote. 💬 Kama unapenda maudhui ya healing, self-worth na relationship reality 👉 Nitumie DM sasa 👉 Follow kwa content zinazogusa moyo na kukujenga #HealingJourney #SelfWorth #LoveReality #EmotionalGrowth #RelationshipTruth

Viny_updates
Viny_updates
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 June 2026 09:12:37 GMT
24751
631
7
87

Music

Download

Comments

chudymussa5
Miwani :
💯💯💯
2026-06-01 17:35:24
1
mourine462
Mourine :
🥰👌
2026-06-01 18:10:23
1
feluum8
Feluum :
🥰🤗
2026-06-02 06:52:43
1
shaggy5635
shaggy :
😭😭
2026-06-04 18:38:21
1
suleboy329
SULE :
😂
2026-06-30 11:07:34
0
user30231567483275
ABACHA 4G :
🥰🥰🥰🥰
2026-07-07 07:41:40
0
hirat81
irat :
😳😳😳
2026-07-16 21:07:12
0
To see more videos from user @viny_wise, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About