@drcharleskitima1: Haya mambo htupaswi kuyasahau tunapojadili watu kujitawala. Yeyote mwenye nia ya kutawala anatakiwa apitie kwenye mchakato huru na wa haki wa kuridhiwa na wananchi.

Kitima Fans
Kitima Fans
Open In TikTok:
Region: AL
Monday 01 June 2026 09:52:03 GMT
126475
8417
259
341

Music

Download

Comments

user4948184858702
user4948184858702 :
Mungu wambinguni akulinde baba
2026-06-01 19:25:14
53
user56075947056975
Mawilo Jr. :
Enzi ya Magufuli walikuwa kimya kimya Pwezaa hawaaa !
2026-06-06 16:44:49
4
shakiru.ldrisa.ml
shaky :
mfano Rwanda,tazama congo,Nigeria Sudan, ww unatakiwa kua daraja la kuwaunganisha watu wote bila kuchagua ni kiongozi wa dining gani au chama gan
2026-07-17 18:27:58
0
ezekielilemweli
Mr dillo the don💼🌎 :
Elimu elimu elimu👏
2026-07-16 17:40:58
10
britaingold
Britain gold :
akili nyingi sana hiziii CCM mpo?
2026-07-16 07:53:26
6
travelexplo
Kili Tanzanite Safaris DMC :
Hawataki Watz wajue hili. Asante Father 👏.
2026-06-01 11:01:40
35
kareskuhanga
Chanzo Tumbo :
hatutaki democrasia
2026-06-01 20:06:59
10
lilys.427
Lily's 💎💎 :
Pr. Kitima ni mmoja tu Tz🥰🥰
2026-06-01 17:24:59
17
lizy.shirima2
Lizy Shirima🦋🦋 :
Mungu akutunze daima father
2026-06-01 11:33:31
44
josechengula
Joseph chengula :
2026-06-01 19:01:41
14
dafrosamichaelmad
Dafrosa Michael Madicher :
Mungu akutunze baba.Maadui wasipate nafasi kwako.
2026-06-01 17:19:32
24
robertjoachim1
Roby :
2026-06-01 15:23:58
12
francsidamas
Francsi Damas :
🥰🥰🥰PhD baba paroko tupo pamoja
2026-06-01 18:13:05
14
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
Hongera sana father KITIMA
2026-06-01 15:44:30
7
roida.mamaa
#Roida @Mamaa :
asante mtaalamu wa yesu
2026-06-01 16:24:38
9
hysonkabimbi
Hyson kabimbi :
nchi inawatu wenye miakil ming sana
2026-06-01 18:12:10
8
richard.charles433
richard charles :
mungu akupe nguvu zaid ya kupambania taifa return, tzn
2026-06-01 14:16:48
8
simonallenkandolo
Allen Simon kandolo :
Ubarikiwe baba mchungaji
2026-06-02 08:00:40
5
marcohaule1
marcohaule779 :
You are very Genius Padre. we thanks for your message
2026-07-16 16:04:40
20
user7907421881251
user7907421881251 :
ukovizuri baba
2026-07-16 20:57:58
1
abubakarimuhando
abubakarimuhando :
hayo yote wanayafahamu shida wameamua kutufanya miradi yao tu
2026-07-17 08:41:06
4
shakiru.ldrisa.ml
shaky :
ww ndo umepewa dhamana ya kuachunga wana wapotevu lakin apa unajenga misimamo mikali ambayo leo yanaonekana ayana madhara but siku utakapo gundua kwamba umekosea muda utakua umekutupa mkono
2026-07-17 18:25:28
0
enock.makoga
Enock Makoga :
mwenyezi mungu wa mbinguni mlinde kiongozi huyu
2026-06-24 10:10:04
2
hilarysuleimani
Hi boy2016💦 :
free national 🇲🇼🇲🇼🇲🇼
2026-07-16 10:25:28
2
markdowntz44
mark downtz :
bora ufalme
2026-07-16 12:02:43
2
To see more videos from user @drcharleskitima1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About