@www.islamick.com: AL 'UMMUKA MADRASA "Mama ni shule " mtume wetu Muhammad s.a.w alisikika akisema katika mafundisho yake mtoto hujifunza kupitia mama ake. wana wake muwe makini msiwe ni wenye kuzalisha kizazi kilicho jaa raana za Baba zao na walimwengu kiujumla