@healthyfity1: Unatokwa na hivi vipunje kooni mara kwa mara? Je, umeanza kuona au kuhisi uvimbe upande wa ndani au hata nje ya koo? ⚠️ Hali hii inaweza kuashiria kuwa tatizo linaendelea kuathiri koo na tishu zinazolizunguka. Usipuuzie dalili kama: ✅ Vipunje vyeupe au vya njano kutoka kooni ✅ Harufu mbaya ya mdomo isiyoisha ✅ Kuhisi kuna kitu kimekwama kooni ✅ Koo kuuma au kuwasha mara kwa mara ✅ Kuvimba kwa tonsils au eneo la koo ✅ Ugumu wa kumeza 📩 Kama unakabiliwa na dalili hizi, wasiliana na healthyfit clinic kwa ushaur na usaidizi zaid.. #sorethroat #tonsilstones

HEALTHY FITCLINIC  DR Geaz
HEALTHY FITCLINIC DR Geaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 June 2026 12:49:41 GMT
3554
34
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @healthyfity1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About