@habarimpya_tv: Dakika 12 za Babalevo Bungeni, atoa hoja Konki Spika amuongezea Dakika za kuchangia,. 🙌🙌

HabarimpyaTv
HabarimpyaTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 June 2026 12:53:13 GMT
134424
5217
140
443

Music

Download

Comments

user61456703605003
Hinden thing 🔥🔥🌼 :
kichaa wetu tunakupenda sana
2026-06-01 13:50:37
62
nguzo_furniture_tz
Nguzo Furniture :
Mwamba ana nondo sana 💪💪
2026-06-01 14:12:25
39
sylvestermsabila4
Sylvester msabila :
tena wanawake wenye mishahara ni hatari sana
2026-06-01 13:43:02
31
khamis6699
Khamis Zanzibar :
Maisha sio degrees za darasani hongera Bb levo
2026-06-01 15:57:08
27
daniellameck1409
Daniel Lameck709 :
huyu ni mwakilishi wa maswala ya wanaume bungeni
2026-06-01 18:46:38
12
abdurahmanlukuni
Abdurahman Lukuni :
wataelewa tu hawa.
2026-06-02 06:25:37
7
user407919405059
pinah idrissa :
mwamba yuko sahihi
2026-06-01 22:18:06
7
muarabuwatanga25
MUARABU WA TANGA25 :
Nakuelewa sana Baba levo
2026-06-01 14:09:00
5
soikan04
Dantess Danny👀👂 :
ukweli mtupu
2026-06-01 13:35:35
5
jooboy733
Jooboy73 :
baba levo ungekuwa raisi tungefika mbali sana
2026-06-02 08:12:36
4
jn_officially
JULIUS🇧🇮 :
Acha nikae kwanza
2026-06-02 12:44:29
1
big844949
big :
kweli unakili sana
2026-06-01 17:20:45
2
mr_chii46
🌼ßœy_çĥîî🥀 :
hizi taarifa jamn taarifa aah😅😁
2026-06-01 21:05:29
3
feisalsaid786
Feisal Said :
asante sana baba Mungu ni mwema nakuombea kwa Mungu afya njema
2026-06-02 06:57:54
2
ceolifestyle_21
CEO :
nmeanza kukubali mwanangu respect the og pigo za kiume
2026-06-01 14:41:12
3
user7793231378378
user7793231378378 :
sema baba sema baba
2026-06-01 15:41:42
3
sulemani.enock
Sulemani Enock :
hii kichwa nimeipenda🥰🥰
2026-06-02 06:32:19
1
user8003666926130
lovelyone :
nakubali sana uwo ndo uhalisia wanawake wanashelia wanaume tuna chama Cha falaja
2026-06-03 20:44:08
1
richie.madoshi
richie madoshi :
uyu jamaa ni bright sana...sema ukweli
2026-06-01 13:59:21
6
immanuelwilfred7
michalazo :
Tuwakilishe mzee
2026-06-01 19:49:25
2
ningo.king.45
naingo 45 :
tunakupenda sana mutalamu wetu
2026-06-01 15:22:43
2
bonychubwa2
Bony tz13 💫 :
TikTok wabadilishe namna ya like ziwe hata tano
2026-06-01 23:17:52
2
didacewilson23
didace :
asantee
2026-06-01 19:51:12
1
user8193117840590
Amospetro :
ulikuwa wap zaman blessed
2026-06-02 03:28:12
2
swahib876
young swaah :
haya mambo ya taarifa ya nini kila wakat
2026-06-02 04:16:39
1
To see more videos from user @habarimpya_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About