@tevar_demas: je kutunza pesa kwako imekuwa changamoto? yani pesa ukipata haikai 😔 sikiliza kwa makini, kuna mahali unakosea. ✍️|| Usisahau kufollow ukurasa huu Facebook: @tevar_demas Instagram: @tevar_demas TikTok: @tevar_demas #fyp #creatorsearchinsight #successmindset #Motivation #joelnanaukamotivationaltalks

Tevar Demas
Tevar Demas
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 June 2026 12:57:00 GMT
360326
20526
240
1336

Music

Download

Comments

robby.one81
ROBBY ONE :
perfectly nanaukaah
2026-07-25 10:43:27
2
challab7
ABDUSALAM challab 🫂🔥 :
thanks brother
2026-07-24 12:21:10
0
velnora.beauty.sty
Velnora beauty & style :
Jmn mimi napata pesa ila starehe jmn kupendeza uwiii nimeshindwa kuacha🙌🙌
2026-06-25 22:10:03
48
j0bless_tz
Jose_son :
shida na spin sanaa Efootball
2026-06-28 08:42:50
14
user7906712609369
cut uw@ridy :
mungu kani epusha vyote ila kanipa ndugu jamani 🙌🙌🙌 majukumu unaongea peke yako 🙌🙌
2026-06-02 21:17:56
54
mamy.naa91
mamy naa :
huy ni mm kabis asant kwa ushaur mzur
2026-06-02 06:16:09
51
user2581718112372
user2581718112372 :
nimejifuna kutokumuahidi mtu.lakini pia matumizi yasiyo ya lazma.kubwa kuliko ambalo najitahidi kulitoa kabisa.yaani kusaidia saidia watu.hili ni tatizo ambalo nilikuwa nalo kwa muda mrefu sana.na nijambo ambalo limenirudisha nyuma sana.na nimegundua madhara yake.cha kwanza watu hubadirika.lakini pili.hupenda kusaidiwa kuliko wao kusaidia.wakati kumbe maisha ni yangu na si yamtu mwingine.🙏🙏🙏
2026-06-17 14:35:09
22
joycephilipo20
baby 🤱 :
😂😂😂😂 jaman mi siwezi ona kitu kizuri nikiache ila hua najutia 😏
2026-06-02 18:58:53
8
kingsilva_0ffical
@_Offical_kingsilva🇹🇿🏅🏅🏅 :
kaka huyo n mm kabisa ila kwasabab nmejua bs kwanzia leo nmeacha ee mungu nisaidie🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-06-23 10:57:24
13
ukhtyukhty454
❤️ UKHTY UKHTY ❤️ :
😂😂😂😂😂inamana wote hum amtunzi kila mtu ka comment hatunzi
2026-06-02 13:49:12
7
christinamanoti17
pretty 😍 :
ndo uje kunisema tiktok, maana uyo ni mm
2026-06-04 09:50:15
11
bahatiokelo1
BAHATI_COLLECTION ARUSHA :
unanizingumzia mimi
2026-06-02 08:01:42
7
user2870602044513
CyrusAngure :
kama mm nikipata pesa nafikiria tu Betika
2026-06-24 18:56:22
9
ilhamikraminayat2
TRIPLE I BEAUTY SHOP :
tunaomba tiba wengi n wahanga
2026-06-02 15:00:13
6
familiakibena
Familia Kibena :
yana iyo tabia ya kwanza ni yangu kabisa yan mim nikishika ela mfukon zitanikoma 😁😁
2026-06-02 11:08:23
10
davis74045
~Davis~ :
mbona kama mnaniambia mm sema asante kwa ushauri
2026-06-02 12:12:45
6
omarymsukuma
OMARY YANGA💙💛💚💚 :
Au Unaniambia Mimi Maana umeniangalia 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-16 23:36:19
8
deborahedwardkiwelu
Debbie unique :
Sure 🥰🥰
2026-07-07 06:07:14
2
mou_sir
MuSa :
tabia nyingine ni kwa sisi wanaume wengi wetu kutaka kuwa na kila mwanamke mzuri tunaemuona
2026-06-02 11:43:56
16
user5728742033685
user5728742033685 ilali boy :
Shukrani mhim kubadilika brother
2026-07-18 12:01:04
1
modesterbenda
mode❤️❤️🎧 :
Kwel kabx
2026-07-12 07:24:25
1
abraasimyota953
Abraa Simyota :
uyu jama 👏👏👏👏
2026-07-11 09:43:41
3
user7343698192756
@kill bill dtzd :
kama mim
2026-07-11 19:14:27
2
mrblacknyaga
mrblacknyaga :
zote ninazo mim
2026-07-11 19:11:33
0
user5404388743968
Faris Don :
🥺 exactly
2026-06-03 21:55:45
4
To see more videos from user @tevar_demas, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About