@liberatousvitalis:

liberatus vitalis
liberatus vitalis
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 June 2026 13:29:11 GMT
126939
7913
485
89

Music

Download

Comments

jackie08486
jackie🦋 :
nilikua na mwaka mmoja saiv 21 yeye saiv 30 how😂😂
2026-06-08 06:28:48
285
foxpapey
Diana🤍💙 :
Nilikua zangu la tatu saivi nina miaka 33 ye ako na 29😁😁😁😁 maisha ni kuchagua
2026-06-08 19:11:30
127
violetkisorio
VIOLET :
20 yrs ago
2026-06-09 18:39:52
4
gold93606157944
Golden girl 💕💞 :
tuliokuwa na mwaka mmoja tujuane
2026-06-08 18:59:16
96
missc477
Lilian :
mimi nilikua na miaka 2 saiv 22 yeye nasikia ana 30
2026-06-08 19:53:21
43
issahamissi2
Fert junior :
daah nilikuwa na mwaka 1 sasa nina 20 vipi yeye😂😂😂😂
2026-06-08 17:45:06
29
orivadegea.mwaluan
lizzy degea mwaluanga :
😅😅nilikua ndo nimezaliwa🤷‍♂️
2026-06-09 07:32:55
5
user3531443849618
Donone :
Tanzania sweet heart ❤️❤️❤️❤️
2026-06-09 19:56:46
1
robsonwayson669
🌺Luciana✨ :
Ambao tulikuwa hatujazaliwa tuko wap😃
2026-06-08 18:13:57
21
merry_in_grace
Merry In Grace🙏🤲 :
😂 nilikuwa Bado sijui kama ntapatikanaa😂😂
2026-06-09 04:06:55
5
zaynabthomas0
Zaynab…🥰🥰💕 :
Duh ata Sijazaliwa 😅
2026-06-02 21:24:12
39
user1675631801971
rose 🌹 :
Ambao atuelewi kingereza kitam like apa
2026-06-09 13:30:02
6
yasintadavid
baby teddy💞🥀 :
nilikuwa na miaka 9 saizi 29 yeye ana 30 😅
2026-06-09 11:12:38
7
anifqje2
mu😊 :
mi nilikuwa bado ata sijazaliwa😂😂😂 2007
2026-06-09 09:08:35
6
user19765125495851
anitaserikali1 :
nilikua sijazaliwa😂😂🥰
2026-06-08 19:54:41
6
missnyakindi
missnyakindi :
ila hiz camera😅
2026-06-09 20:06:06
1
vique2030
Vique🍨🍨 :
20 years ago 🙄
2026-06-08 21:31:34
8
twaibaty9
Tee~40💕🥀 :
Wooow the camera is given😂😅
2026-06-09 00:21:50
1
godsdoughter02
official me💦 :
nilikuw na mwaka sufuriii😅😅
2026-06-08 14:27:31
6
happynoel75
Happy Noel :
aisee nilikuwa na miaka8 asa hivi nina 29 wema ana miaka30 hii ni maajabu🤣🤣
2026-06-08 13:55:41
16
roseuser65333088107415
Roserose :
2006 nilikuwa darasa la sita jaman wema nakupenda sana unatuwakilisha singida
2026-06-08 21:38:20
5
user19837152321421
sofie21 :
nilikuwa na miaka 8 apa Leo ni miaka 27 yeye eti ana 32 jamen
2026-06-09 07:31:55
8
uriobarman
uriobarman :
Nilikuwa na miaka 16 sasahivyi nina 32, Wema bado yupo 30 😭😭
2026-06-09 11:41:38
6
priscamwanjela810
🤍prene :
nilikua na myaka 2 Leo na myaka 22 yeye ana35
2026-06-08 10:12:51
6
To see more videos from user @liberatousvitalis, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About