@health_farm_tz: Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Samueli Rweyemamu amezungumzia athari wanazopata wagonjwa wa shinikizo la juu la damu pale ambapo hawazingatii matumizi sahihi ya chumvi, Amesema Kumekuwa na elimu nyingi sana mtaani kuhusu matumizi ya chumvi Hali inayochangia wagonjwa wengi wa shinikizo la juu la Damu Kutotumia chumvi kiusahihi. Hii inadhihirisha wazi kuwa elimu sahihi ya matumizi ya chumvi inahitajika! Unamtazamo gani? ELIMIKA, HAMASIKA, CHUKUA HATUA KABLA MWILI HAUJACHOKA! #healthfarmtz #presha #afya #tiktokviral
nikuomba Mungu na kubalansuli mlo wako tu na kujiamini kama watu wengine
2026-06-03 04:58:42
1
my💕💕🌹 :
kaz kweli kweli
2026-06-08 14:54:13
0
Ashura Mkanin'ga :
sisi wenye pressure ni kuomba tu Mungu 😂😂
2026-06-02 18:11:24
5
ukerewe boy :
unashindwa ushike lipi
2026-06-03 03:36:46
3
mamiemommy :
personal observation, kuna wakati nilikua nachoka na kuishiwa nguvu sana, mapigo yapo chini na ninachoka kama mtu mwenye kuishiwa sugar..Nilisikia tu sauti tumia chumvi ya mawe weka kwenye maji, guyz ndani ya 45 minutes, nikaanza kuona afadhali..and recently sukar ilikua inasoma 4, nikawa nachokaaa, basi napewa glucose, chai nini...but sikai vzr sana .nikaikumbuka chumvi, nikawaambia nipeni chumvi ya kawaida nilikua kazini .so nikachanganya chumvi na ile glucose..baada ya kam 40 minutes nikawa sawa .huo ndio ushuhuda wangu..ndio nimejua dr anasema ukweli...but jifunze kuujua mwili wako mara unapoona hali ya mabadiliko fulani fulani zaidi tumia dawa kwa usahihi
2026-06-03 14:06:21
4
Flo :
Hadi sasa madaktari wamefeli.
2026-06-03 19:22:08
0
刘思思 :
In a week tunaweza kupata wagonjwa wawil watatu wa hyponatremia . Moderatw / severe na sijui wanaambiwa na nani unakuta mtu hatumii kabisa 🥺
2026-06-08 14:58:29
1
happy-eli :
Yesu tusaidie na kutuponya
2026-06-02 19:24:54
0
user7319126820929 :
daaa yani nachanganyikiwa jamani
2026-06-11 17:44:26
0
laurencemollel :
sasa mnatuchanganya
2026-06-02 17:00:38
0
Sir Bugo :
🥰🥰🥰
2026-06-02 06:54:02
1
To see more videos from user @health_farm_tz, please go to the Tikwm
homepage.