mimi hapa kuna majiran wana wifi nyumba ya pembeni nilikuwa naogopa kuwaomba pin, siku mama yao kaniita kuwa wamenunua luku ila token hazioni, nikashika simu nikascan wifi kwanza afu ndo nikawaombea pin huu mwezi wa 3 nateleza tu 😂
2026-06-03 19:28:41
59
____treza :
Umu tuuu wadandia WiFi tujuanee😂😂
2026-06-03 14:24:44
32
gabby_stylish❤️ :
asanteeeee
2026-06-02 20:36:01
0
chimamy🍁 lee4️⃣5️⃣ :
kumbee tupo wengi 😁😁😁
2026-06-02 00:12:45
23
Julieth Agonza :
wenye za kwetu tujuane kwa like
2026-06-03 23:25:37
29
Nadya 🦋 :
😂😂 umelala asaubuh kazin unaend saa ngap mwanet
2026-06-04 06:45:55
11
Saidarty Othumani :
aliyeleta smart phone jmn kauwa dunia😂😁
2026-06-03 13:19:52
9
Chammy :
Huyu ni mm wallah 😂😂😂😂😂
2026-06-02 19:29:52
7
natty precious :
my condition rn😂💔🙌🏻
2026-06-04 11:06:55
0
user4780093055279 :
huu ukweli mtupu😂
2026-06-04 12:05:55
0
Rahma Ramadhani Omar 🧕🤝 :
mbona mm Nisha Zoea 😂😂
2026-06-04 13:28:01
0
🦋isher-Al-hennah🦋 :
Mimi nalipia buku natumia wiki nzima na kukesha juu🤣🤣🤣
2026-06-03 22:27:31
0
Glory Samson :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yan ni Mimi tyu uyo
2026-06-04 11:47:30
0
Nasra Kambi 😘 :
😆😆😆😆😆 tumefikiwa🤣
2026-06-03 18:12:52
5
agnespeter858 :
Gudubaiiii
2026-06-04 09:17:03
0
Catherine calvine :
Elia huyo😂😂
2026-06-04 11:24:47
0
hilda mtung 🤩😘🤩😘 :
ila ww
2026-06-01 14:30:13
2
hopie nassary💕💕💘 :
eeeh nmefikiwa
2026-06-03 09:35:21
1
kibaha wrestler_19 :
umelala kesho
2026-06-04 12:22:26
1
lamami :
ila 🤣🤣🤣
2026-06-03 13:23:24
1
To see more videos from user @sparrow.black6, please go to the Tikwm
homepage.