Biblia haichanganyi mkuu..jitahd sana vitabu cha MUNGU usivitumie kwenye comedy ni ushauri tu itakusaidia na utabarikiwa sana 🙏📌
2026-06-02 02:01:40
246
Annah♊555🧿 :
mim ni msomaji biblia hainichanganyi inahitaji utulivu tu🥰🥰🥰
2026-06-02 08:52:04
109
Hassan255🇹🇿 :
TATIZO HAUNA ROHO MTAKATIFU😇😃
2026-06-01 20:54:16
25
𝔭𝔬𝔭𝔪𝔷𝔞𝔪𝔦𝔯𝔲 :
mbona mambo marahisi apo ..... wale wake ndo atawasaidia kama utaita na sio wake ndio hatakusikia🥰🥰
2026-06-01 17:28:35
55
pablo k :
Sasa ambacho hujaelewa hapo nn
2026-06-01 16:50:54
28
Pr.Innocent George :
biblia haichanganyi ila kuna kitu kinaitwa context katika Kusoma au kwakiswahili kinaitwa muktadha wa neno au fungu.nifollowor kwa mafundisho zaidi ya biblia ubarikiwe sana by Mchungaji Innocent GEORGE.
2026-06-02 08:16:03
8
confirm :
roho mtakatifu ni mwalimu,atakuchanganua🙏
2026-06-02 06:09:06
6
Remija Ngwila :
acha kipotosha 😊
2026-06-01 17:44:44
9
El_NASSORO MOH'D :
watu wa mungu wote like hp
2026-06-01 16:08:50
39
johnson4692 :
cbfhrirydx jgdhjgftuffugy
2026-06-02 08:41:46
6
🇹🇿DOCTOR PESANDEGE!🌿⚕️💰✈️ :
2026-06-02 07:29:42
6
pita 20 :
mungu anakuona
2026-06-02 17:34:15
2
upendombwilo10gmail.com0 :
Mungu anawapenda wale woote wampendao na woote wamtafutao kwa bidii watamuona.
2026-06-02 21:30:37
7
Goodluck Christopher :
Mungu anaangalia moyoni mwako upo tayari au umeita tu kimazoeaa
2026-06-02 07:02:31
10
@Frankie pops ✨💥 :
sikuwepo na sijui kitu yoyotee🙌🙌🙏
2026-06-01 19:44:43
7
Elizabethlukas77 :
ooooooh Mungu tusaidie
2026-06-01 16:16:21
6
daudi mboka tz :
mmmh,
2026-06-03 16:57:51
2
JAFARI BABAYU :
kazi wanayo😀
2026-06-01 15:26:37
6
pastor GORALI :
hapo hujaelewa nini
2026-06-01 18:47:16
5
STAY FAMILY ACADEMY :
amina
2026-06-02 16:22:44
2
user2269313030237 :
muombe mungu akupe macho yarohon
2026-06-05 18:17:50
2
Tully Bukuku :
duuh
2026-06-02 10:43:07
2
Leah Lyimo :
Unapenda kujiamlia mambo wew😀
2026-06-02 16:16:38
3
To see more videos from user @davisnziku3, please go to the Tikwm
homepage.