Hata c shangai kuna mdada anaitwa Avina nilimsaidiaga alikua hana mbele wala nyuma, kafika kwangu kaishi kama ndugu yangu ila alicho nifanyia kamjaza mumewangu na rafkiangu maneno ya ajabu sana,alimwambia mumewangu mim ni malaya yani adi sina hamu 🙏🏼saiv hana mbele wala nyuma 🤲🏻ukinyamaza Mungu ndo jibu cku zote
2026-06-02 08:46:47
10
angel franc34 :
uzur wang na marafk Zang hakuna anae jua mwanaume wa mwenzie 😂😂😂
mm nilikua na lafiki angu na mbwana angu asikali kimbe akija namuita lafiki tunakula kumbe sijui wanawasiliana bas kuna siku nikachukua sm ya lafiki angu nilikua sina salio ile naweka namba imo kwenye sm nilichoka nikaenda mpaka kwenye esms nilicho kuta sikuamin mpaka saivi huyo mpenz wangu kaniacha kwasababu lafiki 2 mm sitaki lafiki tena hapana😊😊😊😊😊😊
2026-06-02 11:27:03
5
user92076631871172 :
nikikumbuka nilimtambulisha rafiki yangu mwanaume wangu mwishowe akamchukua kabisa hata hamu sina
2026-06-02 12:51:52
3
Irene Khoza :
Irene mwenyewe niko hapa 🤗
2026-06-02 14:07:49
4
sarahoseey0 :
Unampaje access ya kuwa na number ya mpenzi wako?? Nina Rafiki zangu sina number za wapenzi wao kumsalimia ni yeye akipiga inatosha 😏
2026-06-02 17:10:33
1
it's dory :
huyu ni shoga angu mmoj ivi dah
2026-06-02 14:09:49
0
Pretty🦋💜 vee💜🦋 :
Mmmmh ngumu kumeza hii🥹🤣🤣
2026-06-02 13:39:48
0
saru :
Yaani nimejikuta nimekumbuka 😭😭
2026-06-02 17:36:25
0
suu🦋🦋🦋 :
sawa
2026-06-02 13:23:14
0
pendo :
wenye tushaumizwa kwa style hii na sasa tumejifunza tujuane 😃😃😃