Mimi nifunga ndoa nilikua na miaka 14 bahati mbaya sikupata malazi yoyote toka miaka mitatu mpaka miaka 14 sikua na mtu wakuaniambia acha hili baya hivyo nilipo olewa nilimtesa huyo kaka alikua akikesha na kulia mpaka nilipo fika miaka 17 Akamua kuniacha bila kujua sina malezi wala umri wangu Apa najiuliza machozi yake yataendelea kunitafuna 😭 Sjui itakuaje
2026-07-21 12:42:41
0
user9652153603433 :
MUNGU judge mkuu
Atawalipa sawa sawa na kile walicho nitendea amen
2026-06-04 19:11:13
13
Sakina Madiba :
amen thanks man of God
2026-06-07 19:06:01
1
Edith :
Ameen
2026-06-04 20:10:06
3
user6991668360834 :
hallelujah 🙌 amina
2026-06-08 07:42:53
1
Wendy❤️ :
Mungu si mwanadamu aseme uongo, machozi hayaendi bure